MUBENDE
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 1,111
- 1,879
Unalolisema ni kweli kabisa lakini shida inakuja hao Serekali wana tambua ufugaji ni nini? kuna saa tunapata shida mpaka unafika mahala huamini unachokutana nacho pindi unakwenda kwenye hizo ofisi husika kwaajili ya kuomba msaada wa kitaalamu kwaajili ya kupata msaada wa kinacho kukabili.Nikisoma Uzi kama huu nashangaa sana kwamba wizara ya kilimo na taasisi zinazohusika na mambo haya ya mifugo wanafanya Nini? Kwa Nini pasiwepo mkakati WA makusudi kuboresha mbegu za kienyeji ili kuongeza tija?