Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Jamani naomba msaada wenu nahitaji kufanya biashara ya kuuza kuku je inalipa?upatikanaji wake je??hasa nahitaji pakuweza kuwapata kirahisi .(kuku wa kienyeji).asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila biashara inalipa...Ikitegemea mahali ulipo, wateja unaowalenga , ubunifu wako na utayari wa ushindani na kupambana na changamoto zake...Habari za kusema kitu hiki kinalipa kabla ya kukichunguza ama kukifanya inatufanya wengi tuangukie pua
 
Kila biashara inalipa...Ikitegemea mahali ulipo, wateja unaowalenga , ubunifu wako na utayato wa ushindqni na kupambana na changamoto zake...Habari za kusema kitu hiki kinalipa kabla yabkukichunguza ama kukifanya inatufanya wengi ttuangukie pua
Kakujibu na kumaliza kila kitu,akili kichwani mwako na unachotaka kukifanya
 
Kuku mmoja inafaa alee vifaranga wangapi? Maana nataka nimpatie vifaranga wa wenzie
 
Kuku mmoja inafaa alee vifaranga wangapi? Maana nataka nimpatie vifaranga wa wenzie
Mimi kwa staili hii huwa naweka hadi 18. Ila hakikisha wanakuwa wametotolewa siku moja au wamepishana siku moja..

Pia unawaweka usiku gizani na tetea unamuweka pembeni asione unavyoweka vifaranga wengine. Kisha mrudishe.... hapo ataendelea kuwalea vizuri tu.
 
Aseh kuna ugonjwa vifaranga kiziba nyuma yaani vinajiarishia na kuziba choo, ulinimalizia vifaranga kwenye bruda mpaka nikakoma ubishi takriban 30, ila nashukuru nlikuja pata mtaalam Akanambi kitovu havikukauka so vikawa infected na bacteria.
Kama kuna aliekutana nao tushee experience ya matibabu
 
Umri wa kula starter ni had miezi mingapi, na wa kula growers nao ni muda gani
 
Aseh kuna ugonjwa vifaranga kiziba nyuma yaani vinajiarishia na kuziba choo, ulinimalizia vifaranga kwenye bruda mpaka nikakoma ubishi takriban 30, ila nashukuru nlikuja pata mtaalam Akanambi kitovu havikukauka so vikawa infected na bacteria.
Kama kuna aliekutana nao tushee experience ya matibabu
Ilitokea kwa kifaranga kimoja katika vile nilivyokuwa navyo...kilikufa na hadi leo sikujua chanzo. Hebu tuelezee huyo mtaalam alikuambiaje...na hicho kitovu vipi tena

Sent from my TV
 
Mimi nina tetea wa kisasa na jogoo wa kienyeji hapo naweza nikapata chotara wa aina gani? kwa maana mayai ya huyo kuku wa kisasa tayari nimesha mpa kukuwangu wa kienyeji ili aweze kuyalalia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom