Jamani naomba msaada wenu nahitaji kufanya biashara ya kuuza kuku je inalipa?upatikanaji wake je??hasa nahitaji pakuweza kuwapata kirahisi .(kuku wa kienyeji).asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakujibu na kumaliza kila kitu,akili kichwani mwako na unachotaka kukifanyaKila biashara inalipa...Ikitegemea mahali ulipo, wateja unaowalenga , ubunifu wako na utayato wa ushindqni na kupambana na changamoto zake...Habari za kusema kitu hiki kinalipa kabla yabkukichunguza ama kukifanya inatufanya wengi ttuangukie pua
Mimi kwa staili hii huwa naweka hadi 18. Ila hakikisha wanakuwa wametotolewa siku moja au wamepishana siku moja..Kuku mmoja inafaa alee vifaranga wangapi? Maana nataka nimpatie vifaranga wa wenzie
Ilitokea kwa kifaranga kimoja katika vile nilivyokuwa navyo...kilikufa na hadi leo sikujua chanzo. Hebu tuelezee huyo mtaalam alikuambiaje...na hicho kitovu vipi tenaAseh kuna ugonjwa vifaranga kiziba nyuma yaani vinajiarishia na kuziba choo, ulinimalizia vifaranga kwenye bruda mpaka nikakoma ubishi takriban 30, ila nashukuru nlikuja pata mtaalam Akanambi kitovu havikukauka so vikawa infected na bacteria.
Kama kuna aliekutana nao tushee experience ya matibabu
nikweli hata mimi naamin katika hilo, mwenyewe pia nalima......Miongoni mwa vitu vinavyolipa sana kwa sasa ni kilimo na ufugaji mkuu!
Mkuu uku kwetu kuku 1 anauzwa 15000 na jogoo 20000 ad 25000Zaasubuhi kesho kutwa......kwanini wasema pesa za chap chap? unaamini katika hilo?