Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana kwa kutupa uzoefu ambao hata wanaoshinda na ma - lecturer hawapati. mkuu mm naomba nikusumbue kidogo kuhusu wastani wa gharama ya chakula kwa nguruwe mmoja toka kanazaliwa mpaka mda wa kuuza anaweza akafyonza shilingi ngapi? kama nanunua vyakula mashambani na kuchanganya mwenyewe. mana nipo mbioni kuanza haka kamradi. ukinipa wastani wa mmoja mimi nitajua kwa nguruwe wengi ni kiasi gani natanguliza shukrani mkuu
Guys.....!!!!!!
Mkuu malimba hizi link zaweza kuwa msaada kwako, zisome vizuri utapata majibu mengi ya maswali yako.
Kila la kheri katika ufugaji wa kitimoto
https://www.jamiiforums.com/ujasiriamali/735164-uzoefu-wa-ufugaji-nguruwe-wenye-faida.html
https://www.jamiiforums.com/ujasiriamali/568964-nimeamini-ufugaji-wa-nguruwe-ni-dili.html
Kumradhi wa mlengo tofauti na mnyama huyu,Naomba msaada chakula na virutubisho mhimu kumlisha nguruwe akue haraka.
umepata tenda ya kufanya usafi mijini?
umepata tenda ya kufanya usafi mijini?