Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Habarini wana jamii forum ,

Mimi nauza utaalamu wa kufuga nguruwe [natoa ushauri], najua wengi mtashangaa lakini ndivyo ilivyo mimi niko kwenye industry ya ufugaji wa wanyama hao kwa miaka minne ufugaji mkubwa wa nguruwe 2000.

Linaweza kuwa geni masikion kwako kwa hapa Tanzania lakini ndo ilivyo, niliajiliwa kwenye shamba nilianza na nguruwe 35 mpaka wakafika 2000 nikiwa na uzoefu wa aina kuu mili za nguruwe yani Danish DUroc na Danish Yorkshore .

Naweza kukushauri kutokana na kiwango chako cha pesa si lazima uwe na pesa kama kwenye kampuni hii naweza kukushauri kuwa na mbegu bora mabanda bora yasio ya garama kubwa na hata treatment watu ndicho wanacho kosa.

Shamba nililoko nahisi ndo la kisasa kuliko yote nahisi kwa Tanzia maana hata SUA wameliona ,na pia farmers choice ya Kenya nao walikuja kufanya visit ,mwenye uhitaji namba zangu ni 0784 905129 /0715 912123.
 
Tunapenda kuwataarifu kuwa tunauza mbegu nzuri za nguruwe sasa(rejea uzi https://www.jamiiforums.com/ujasiriamali/931761-mbegu-nzuri-ya-nguruwe-sasa-inapatikana.html).
1.Tunauza wenye umri kuanzia miezi 2 na kuendelea:
Dume bei yake ni shs.5000/kg of liveweight
Jike bei yake shs.6000/kg of liveweight.
Wa miezi 2 ndio wadogo kabisa na wana uzito 8-14kg
2. Tunauza (kwa order) pia wenye mimba uzao wa kwanza kwa shs.250,000-300,000 kutegemea na mbegu.mbegu zetu uzao wa kwanza huzaa watoto 6-9
3.Tunatoa ushauri wa jinsi bora ya kufuga kwa wateja wetu

MBEGU YETU NI CROSSES ZA LARGE WHITE/LANDRACE AU LANDRACE/SADDLEBACK.
Tunafanya majaribio ya mbegu ya duroc,tutawataarifu ikiwa tayari.

Shamba lipo mpakani mwa pwani na morogoro kijiji kinaitwa Maseyu(6 km kabla ya mikese) na ni about 1.5 km kutoka morogoro road.Ni 160km kutoka dar hadi shamba.
Tunauza hapo shamba,hivyo usafiri ni juu yako.Kwa makubaliano tunaweza kusaidia usafiri kwa mnunuzi kuchangia gharama ya mafuta kwa wateja around morogoro na dar/pwani kama manunuzi yanaridhisha.
Mawasiliano:0789412904 au pm.tafadhali andika msg simu isipopokelewa,tutakupigia.
 
Tunapenda kuwataarifu kuwa tunauza mbegu nzuri za nguruwe sasa(rejea uzi:uzoefu wa ufugaji nguruwe wenye faida).

Ntakutafuta kaka J
 
الله لا يريد هذا الهراء
 
ولكنه جدا حلوة جدا مرة أخرى
 
Shaitwan rrajim,nguruwe halindi nyumba wala haliwi,kwanini uuze?
 
Teh teh teh.
Kitimoto kwa baadhi ya watu sio Kitoweo tu.
Mkuu we huna habari hawa makatonta wengine wanageuza nguruwe kuwa wake zao?

Hatari sana!
 
Usipokula wewe, wengine wanakula acha matusi yako nyambafu mkubwa weye (shaitwani mwenyewe)

Nyie viumbe hata kinyesi mmeshakula sana tu. Kwa hio kupigia promo kitimoto wala hatushangai. Lkn kumbuka Yesu hakuwahi kula hii nyamafu na Andiko limekemea vikali.
Endeleeni kula tu. Ndio maana mnaugua magonjwa yasiotibika.
Swain kitu kibaya sana.
 
Wewe unamjua Yesu? Nani aliandika hayo maandiko matakatifu? Unajidai unajua dini kama wewe ndyo muasisi wake.
 
Mkuu MalafyaleP

naomba kuulizwa swali moja, kwamfano ninafuga shambani na mteja anataka kununua nguruwe kutoka kwenye zizi wakiwa wazima kwa ajili ya kupeleka machinjioni, je gharama ya nguruwe unaipima namna gani, kwa makadirio tu kwa kila nguruwe, ama kwa flat rate, ama kwa liveweight? Na kama ni kwa liveweight nguruwe mkubwa mwenye kilo zaidi ya 50 anapimwaje akiwa hai???

ni hayo tu.
 
Last edited by a moderator:

1.kuna mizani za kupima liveweight
2.kama huna mizani kuna namna ya kukokotoa liveweight kwa kupima urefu na mzunguko wa kifua.Maelezo ya kwenye internet
3.ukifuatilia kwa karibu mradi wako baada ya muda utakuwa unaweza kukadiria uzito wa mnyama.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom