Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunapenda kuwataarifu kuwa tunauza mbegu nzuri za nguruwe sasa(rejea uzi:uzoefu wa ufugaji nguruwe wenye faida).
1.Tunauza wenye umri kuanzia miezi 2 na kuendelea:
Dume bei yake ni shs.5000/kg of liveweight
Jike bei yake shs.6000/kg of liveweight.
Wa miezi 2 ndio wadogo kabisa na wana uzito 8-14kg
2. Tunauza (kwa order) pia wenye mimba uzao wa kwanza kwa shs.250,000-300,000 kutegemea na mbegu.mbegu zetu uzao wa kwanza huzaa watoto 6-9
3.Tunatoa ushauri wa jinsi bora ya kufuga kwa wateja wetu
MBEGU YETU NI CROSSES ZA LARGE WHITE/LANDRACE AU LANDRACE/SADDLEBACK.
Tunafanya majaribio ya mbegu ya duroc,tutawataarifu ikiwa tayari.
Shamba lipo mpakani mwa pwani na morogoro kijiji kinaitwa Maseyu(6 km kabla ya mikese) na ni about 1.5 km kutoka morogoro road.Ni 160km kutoka dar hadi shamba.
Tunauza hapo shamba,hivyo usafiri ni juu yako.Kwa makubaliano tunaweza kusaidia usafiri kwa mnunuzi kuchangia gharama ya mafuta kwa wateja around morogoro na dar/pwani kama manunuzi yanaridhisha.
Mawasiliano:0789412904 au pm.tafadhali andika msg simu isipopokelewa,tutakupigia.
الله لا يريد هذا الهراء

Shaitwan rrajim,nguruwe halindi nyumba wala haliwi,kwanini uuze?

Usipokula wewe, wengine wanakula acha matusi yako nyambafu mkubwa weye (shaitwani mwenyewe)
1.kuna mizani za kupima liveweightMkuu MalafyaleP
naomba kuulizwa swali moja, kwamfano ninafuga shambani na mteja anataka kununua nguruwe kutoka kwenye zizi wakiwa wazima kwa ajili ya kupeleka machinjioni, je gharama ya nguruwe unaipima namna gani, kwa makadirio tu kwa kila nguruwe, ama kwa flat rate, ama kwa liveweight? Na kama ni kwa liveweight nguruwe mkubwa mwenye kilo zaidi ya 50 anapimwaje akiwa hai???
ni hayo tu.