MalafyaleP
Senior Member
- May 23, 2013
- 187
- 387
Tunapenda kuwataarifu kuwa tunauza mbegu nzuri za nguruwe sasa(rejea uzi:uzoefu wa ufugaji nguruwe wenye faida).
1.Tunauza wenye umri kuanzia miezi 2 na kuendelea:
Dume bei yake ni shs.5000/kg of liveweight
Jike bei yake shs.6000/kg of liveweight.
Wa miezi 2 ndio wadogo kabisa na wana uzito 8-14kg
2. Tunauza (kwa order) pia wenye mimba uzao wa kwanza kwa shs.250,000-300,000 kutegemea na mbegu.mbegu zetu uzao wa kwanza huzaa watoto 6-9
3.Tunatoa ushauri wa jinsi bora ya kufuga kwa wateja wetu
MBEGU YETU NI CROSSES ZA LARGE WHITE/LANDRACE AU LANDRACE/SADDLEBACK.
Tunafanya majaribio ya mbegu ya duroc,tutawataarifu ikiwa tayari.
Shamba lipo mpakani mwa pwani na morogoro kijiji kinaitwa Maseyu(6 km kabla ya mikese) na ni about 1.5 km kutoka morogoro road.Ni 160km kutoka dar hadi shamba.
Tunauza hapo shamba,hivyo usafiri ni juu yako.Kwa makubaliano tunaweza kusaidia usafiri kwa mnunuzi kuchangia gharama ya mafuta kwa wateja around morogoro na dar/pwani kama manunuzi yanaridhisha.
Mawasiliano:0789412904 au pm.tafadhali andika msg simu isipopokelewa,tutakupigia.
A picture paints a thousand words!Baadhi ya mbegu yetu kwenye pictures
Attachments
-
20150711_140228.jpg277.7 KB · Views: 706 -
IMG-20150811-WA0110.jpg55.5 KB · Views: 696 -
IMG-20150811-WA0095.jpg71 KB · Views: 809 -
IMG-20150723-WA0008.jpg39.8 KB · Views: 531 -
20150818_181613.jpg276.7 KB · Views: 487 -
IMG-20150907-WA0021.jpg72.4 KB · Views: 484 -
IMG-20150811-WA0107.jpg58.8 KB · Views: 607 -
IMG-20150811-WA0100.jpg60.1 KB · Views: 487