Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Tunapenda kuwataarifu kuwa tunauza mbegu nzuri za nguruwe sasa(rejea uzi:uzoefu wa ufugaji nguruwe wenye faida).
1.Tunauza wenye umri kuanzia miezi 2 na kuendelea:
Dume bei yake ni shs.5000/kg of liveweight
Jike bei yake shs.6000/kg of liveweight.
Wa miezi 2 ndio wadogo kabisa na wana uzito 8-14kg
2. Tunauza (kwa order) pia wenye mimba uzao wa kwanza kwa shs.250,000-300,000 kutegemea na mbegu.mbegu zetu uzao wa kwanza huzaa watoto 6-9
3.Tunatoa ushauri wa jinsi bora ya kufuga kwa wateja wetu

MBEGU YETU NI CROSSES ZA LARGE WHITE/LANDRACE AU LANDRACE/SADDLEBACK.
Tunafanya majaribio ya mbegu ya duroc,tutawataarifu ikiwa tayari.

Shamba lipo mpakani mwa pwani na morogoro kijiji kinaitwa Maseyu(6 km kabla ya mikese) na ni about 1.5 km kutoka morogoro road.Ni 160km kutoka dar hadi shamba.
Tunauza hapo shamba,hivyo usafiri ni juu yako.Kwa makubaliano tunaweza kusaidia usafiri kwa mnunuzi kuchangia gharama ya mafuta kwa wateja around morogoro na dar/pwani kama manunuzi yanaridhisha.
Mawasiliano:0789412904 au pm.tafadhali andika msg simu isipopokelewa,tutakupigia.

A picture paints a thousand words!Baadhi ya mbegu yetu kwenye pictures
 
Attachments

  • 20150711_140228.jpg
    20150711_140228.jpg
    277.7 KB · Views: 706
  • IMG-20150811-WA0110.jpg
    IMG-20150811-WA0110.jpg
    55.5 KB · Views: 696
  • IMG-20150811-WA0095.jpg
    IMG-20150811-WA0095.jpg
    71 KB · Views: 809
  • IMG-20150723-WA0008.jpg
    IMG-20150723-WA0008.jpg
    39.8 KB · Views: 531
  • 20150818_181613.jpg
    20150818_181613.jpg
    276.7 KB · Views: 487
  • IMG-20150907-WA0021.jpg
    IMG-20150907-WA0021.jpg
    72.4 KB · Views: 484
  • IMG-20150811-WA0107.jpg
    IMG-20150811-WA0107.jpg
    58.8 KB · Views: 607
  • IMG-20150811-WA0100.jpg
    IMG-20150811-WA0100.jpg
    60.1 KB · Views: 487
Mnalisha watu nyamafu!
Hivi mpk muugue kiasi gani ndio muache kula huyu mnyama mchafu?
Cancer za matumbo hazijawakomesha tu eti!!
 
Kahtaan ''Biblia inatufundisha kuwa kitokacho ndio haram na wala sio kiingiacho''
 
Usisingizie Biblia!
Sema Paulo ndio kayasema hayo.

Bibilia ya Asili imekataza Katakata Kula Nguruwe.
Yesu Hakuwahi kula nguruwe ktk Maisha yake yote wala wanafunzi wake bali alitumia hao nguruwe kuwarushia Mapepo wachafu.

Sasa hapo tumia akili yako uliozaliwa nayo.
Km Kiongozi mkuu unae Muamini na Kudai Unamfuata HAKULA Nyama ya Nguruwe wala Wale wanafunzi wake 12 Hawakuwahi Kula Nguruwe. Vipi umfuate Mtu ambae wala Hakuwahi Kumuona Yesu hatta siku Moja? Wala Kuishi nae?

Na km Kila kiingiacho Tumboni sio dhambi. Vipi wale wanaokula Maiti za Wanaadamu huko amazon forests utawalaumu? Au Andiko hilo la Paulo Limebagua Kipi kiliwe na kipi Kisiliwe?

Amka mapema Ndugu.
Ulafi ni kitu kibaya sana.
 
We mtu unanikeeera! Kasome matendo ya mitume 10:9-19 uone kama Paulo ndo ameruhusu kula iyo kitu. Pia wewe inaonekana hujui kuwa agano la jipya ni Muendelezo wa kale, Pia ww kama hutaki kula kaa pembeni waache watu waendelee. Sio lazima ujaze Uzi kushawishi watu wafuate tafsiri yako kengeufu ya maandko na kufuata tamaduni za watu tu
 
Kaka achana na mapokeo.
 
I have tried to ignore you but it seems you are uneducated!unaweza ukawa umeenda shule lakini umetoka kama ulivyoingia.
Kama unataka kuhubiri kama kula nyama ya nguruwe na sahihi au la,anzisha thread yako hubiri unavyoweza na kuna ambao watakuja kukuelimisha pia.
Imani sio kitu cha kulazimisha na hapa sio mahali pake.Staarabika na Heshimu imani za watu wengine
 
MalafyaleP ubarikiwe sana kiongozi wangu umenitoa nje ya box sasa nitakutafuta kwaajili ya kujifunza kwa kuona nyuzi zako zitatoa wengi sana i swear
 
Last edited by a moderator:
We mtu unanikeeera! Kasome matendo ya mitume 10:9-19 uone kama Paulo ndo ameruhusu kula iyo kitu. Pia wewe inaonekana hujui kuwa agano la jipya ni Muendelezo wa kale, Pia ww kama hutaki kula kaa pembeni waache watu waendelee. Sio lazima ujaze Uzi kushawishi watu wafuate tafsiri yako kengeufu ya maandko na kufuata tamaduni za watu tu

Kaka achana na mapokeo.

I have tried to ignore you but it seems you are uneducated!unaweza ukawa umeenda shule lakini umetoka kama ulivyoingia.
Kama unataka kuhubiri kama kula nyama ya nguruwe na sahihi au la,anzisha thread yako hubiri unavyoweza na kuna ambao watakuja kukuelimisha pia.
Imani sio kitu cha kulazimisha na hapa sio mahali pake.Staarabika na Heshimu imani za watu wengine

Wagalatia someni maandiko yenu.

Haya sikusema Mimi bali Ni BIBILIA ndio inaongea.

“Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8).

Agizo hilo limerudiwa katika Kumbukumbu la Shari’ah 14: 7 – 8 na pia Isaya 66: 17. Na katika Agano Jipya, Yesu naye amesema kuwa hakuja kutangua shari’ah na mafundisho ya manabii bali kukamilisha (Mathayo 5: 17). Kwa ibara hiyo ni kuwa Yesu pia aliharamisha ulaji wa nguruwe.

Hata hivyo, Ni Paulo ndiye aliyekuja akaenda kinyume na shari’ah hiyo kwa kutoa agizo kwa barua aliyowaandikia Warumi:

“Basi, usiiharibu kazi ya Mungu kwa sababu ya ubishi juu ya chakula. Vyakula vyote ni halali, lakini haifai kula chakula ambacho kitamfanya aanguke katika dhambi” (Waroma 14: 20).

Pia, “Katika kuungana na Bwana Yesu, nina hakika kwamba hakuna kitu chochote kilicho najisi kwa asili yake” (Waroma 14: 14).

Paulo amesema tena kuwa kila kitu alichoumba Mungu ni chema wala hakuna kinachohitaji kukataliwa (1 Timetheo 4: 3 – 5).

Paulo Adui wa Yesu na Mpinga Maandiko ya Yesu Ndio aliyewapa Nyie Ruksa ya kula Mpk paka.

Muogopeni Mungu enyi wagalatia.

Kifo hakiko mbali.
 
Tumekuchoka mkuu, fanya yako tu. Usiujaze Uzi huu kwa tamaduni za kabila la walawi. Nakushauri tu endelea kuamini unachoamini wewe. Kifo hakipo mbali mzee hata wewe utakufa tu! Itafute iyo jun-tus fil daus yako..
 
Unichoke kwani tumefunga ndoa mimi na wewe?
Mimi kazi yangu kufikisha Ujumbe.
Nyie mchoke msichoke ujumbe ntafikisha tu ili wale wenye kumuogopa Mungu waache kufanya hii mambo ya HARAMU.

Acheni kula nyama Ya Nguruwe. YESU ALIKATAZA. na Ni Machukizo Kwa Mungu mkuu.
 
Tunapenda kuwataarifu kuwa tunauza mbegu nzuri za nguruwe sasa(rejea uzi:uzoefu wa ufugaji nguruwe wenye faida).
1.Tunauza wenye umri kuanzia miezi 2 na kuendelea:
Dume bei yake ni shs.5000/kg of liveweight
Jike bei yake shs.6000/kg of liveweight.
Wa miezi 2 ndio wadogo kabisa na wana uzito 8-14kg
2. Tunauza (kwa order) pia wenye mimba uzao wa kwanza kwa shs.250,000-300,000 kutegemea na mbegu.mbegu zetu uzao wa kwanza huzaa watoto 6-9
3.Tunatoa ushauri wa jinsi bora ya kufuga kwa wateja wetu

MBEGU YETU NI CROSSES ZA LARGE WHITE/LANDRACE AU LANDRACE/SADDLEBACK.
Tunafanya majaribio ya mbegu ya duroc,tutawataarifu ikiwa tayari.

Shamba lipo mpakani mwa pwani na morogoro kijiji kinaitwa Maseyu(6 km kabla ya mikese) na ni about 1.5 km kutoka morogoro road.Ni 160km kutoka dar hadi shamba.
Tunauza hapo shamba,hivyo usafiri ni juu yako.Kwa makubaliano tunaweza kusaidia usafiri kwa mnunuzi kuchangia gharama ya mafuta kwa wateja around morogoro na dar/pwani kama manunuzi yanaridhisha.
Mawasiliano:0789412904 au pm.tafadhali andika msg simu isipopokelewa,tutakupigia.

Hongera sana mkuu, but mimi nilikuwa nataka combination ya Dulock+Landrace+Largewhite coz tunategemea kuanzisha project ya nguruwe ambayo later tutaaanza kuuza chakula cha nguruwe kama walivyo wauzaji wa chakula cha kuku.
 
Second Lieutenant,nitumie no yako nikuagizie kwa Mzee Mmoja Mbagala ana Duroc.Ali import dume mbili za Duroc toka. Denmark
 
Wakati nnafikiria namna nafuu ya kufuga nguruwe wengi kwa wakati mmoja nikakutana na mfumo unaitwa Pig Innovation Production System (PIGS).
Mfumo huu bunifu unatumiwa sana philipines kwa kuwa mnamuwezesha nguruwe kufanya vitu anavyopenda kufanya naturally ambavyo ni rooting,wallowing na socialization.Ili nguruwe akue haraka na kuwa productive lazima apate chakula na mazingira muafaka
PIGS ina manufaa yafuatayo
1.Ni nafuu sana ujenzi wake
2.Humpa nguruwe mazingira natural kuweza kukua vema
3.Huwezesha wananyama wengi kukaa sehemu moja
4.Ni rahisi kufanya usafi na mabanda hayana harufu

Shambani kwangu hutumia mfumo huu kuzalisha market pigs i.e nguruwe nnao wakuza na kuwauza kwa nyama.
Katika mfumo huu nguruwe mmoja huhitaji mita za mraba 1-1.5,Hivyo banda la 5mx5m lilaweza kulea nguruwe 15-20.
Hivi ndivyo linavyojengwa(angalia picha ya kwanza)
1.msingi wa tofali au mawe na miti/mabanzi.
2.upande mmoja kwa upana wa 30cm na partition za 25-30cm ni vya kulishia chakula ili kila mnyama apate nafasi
3.upande wa pili ni bwawa la kuogea la upana wa 0.7-1m ili nguruwe akitaka kujipooza anafanya hivyo
4.katikati panachimbwa 60cm-100m na kujazwa mapumba/malamba au nyasi Kwa ajili ya wanyama ku root au kupumzika

Mfumo huu ni very cost effective,banda la namna hiyo hujengwa kwa around 1.5m shambani kwangu.Ni matumaini yangu itawasaidia wanaopata shida ku design banda ufugaji nguruwe kwa ajili ya mauzo
 
Attachments

  • IMG-20151001-WA0003.jpg
    IMG-20151001-WA0003.jpg
    142.5 KB · Views: 620
  • IMG-20150929-WA0019.jpg
    IMG-20150929-WA0019.jpg
    114.8 KB · Views: 509
  • IMG-20150929-WA0025.jpg
    IMG-20150929-WA0025.jpg
    117.4 KB · Views: 468
  • IMG-20150929-WA0017.jpg
    IMG-20150929-WA0017.jpg
    90.4 KB · Views: 556
  • IMG-20150927-WA0036.jpg
    IMG-20150927-WA0036.jpg
    105.7 KB · Views: 550
Nguruwe alie na mimba unauzaje Mkuu na uko maeneo gani ili mtu akitaka kuja kujifunza akutafute
 
Nimependa hiyo miembe nje ya banda.
Ni kweli hii style inaruhusu Nguruwe to be in a somewhat natural environment. Loved to see iko implementable huku pia. Naona banda umelizungushia mabanzi tu usalama ukoje huko? Mm nafugia Arusha na hapo inakuwa ni kualika wezi tu.
 
Back
Top Bottom