believer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 639
- 216
Kwani mpwa na hii ikiwa mpya si tunapeana fursa na wadau wengine!
hapa kuna pande mbili
1:wewe uliyeleta thread ili upate taarifa.
2:wadau wengine waliopo jf ili wakupe ABC za hoja yako.
sasa km tayari kuna thread nyingi nzuri tayari zinajibu hoja yako,wadau wanakwambia peruzi na kudadisi utakuta kila kitu,but km unataka pia kuona ni namna gani wadau wanarespond thread yako,basi subiri usiperuzi na kudadisi.