Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Nguruwe watoto 20 @ 20000 = 400000
Banda la mabanzi=1,000,000
Chakula = 1,000,000
Dawa= 200000
After 1yr: Nguruwe 20 watazaa vitoto kama 160,
utachakuwa vitoto jike 100,
mama zao wote watauzwa, huku shambani kwetu nguruwe
mkubwa ni Tsh 200,000 tu, utapata 4,000,000
After 2yrs: Nguruwe 100 wanaweza kuzaa 700
Kati ya 700 chagua majike 500,(unaweza kuuza watoto dume ukanunua jike)
Year 3: Nguruwe 500 watazaa watoto 3500, chagua watoto 1500 tu
Kutoka hapo unamentein Number 1500, kila mwaka unaweza kuuza
watoto zaidi ya 3000, na nguruwe wakubwa 1500
1500*200000= Tsh 300,000,000/= kwa mwaka
Nusu ya hiyo pesa ni gharama zingine, unabaki na 150mil.
Welcome to the club

Kabla hujajitumbukiza kaone mifano, au nenda sokoine ukaonane na wataalamu.
Kila mwaka nalima Mahindi, alizeti, maboga ekari 30 kwa ajili ya chakula cha
Nguruwe tu.


nakupenda saana mpwa,

Thanks Mpwa Amoeba.
 
If that's the case then why shouldnt we have MUTUAL RESPECT ( in terms of faith). You spoil others faith, they spoil yours too. We've been living in HARMONY for decades, but now people are no longer tolerant towards others, it's a big shame.

Lakini title ya sredi umeiona? kwanini umeifungua??
 
Yaani kumbe hata nguruwe wenyewe hawajaingia bandani tayari unasema muda si mrefu utaanza kuuza?

Ukiwa pale River Side, Ubungo, kuna njia inaenda jeshini. Fuata hiyo njia mpaka ukaribie mesi ya jeshi, kulia kuna machinjio ya kitimoto, pale kila siku kitimoto hawatoshi, si unajua Watanzania tupo takriban 45m na wote tunakula nguruwe

mbona sijaona mlengo wowote wa kidini hapo juu?wabongo hatuna amani kabisa ila tunasubiri kuchokozwa tu,sasa inapotokea hakuna wa kutuchokoza tunaana kutafutana visa wenyewe kwa wenyewe!
 
Habari wanajamii wote.mm ni mkazi wa moshi.nataka nijaribu ujasiriamali kwa nguvu zote.sasa nina laki tano,nimewaza sana na wazo likanijia la ufugaji wa nguruwe,tafadhali wenye ujuzi naomba mnieleweshe kwa laki zangu hizi tano naweza kuzitumiaje ili nami nijikwamue
so far eneo la banda lipo na material chache bado tu kama sementi na ufundi likamilike.
Nitafurahi sana nikielimishwa kwa manufaa yangu na wengine
 
Nakushauri kupitia jf utaona threads nyingi kuhusu ufugaji wa nguruwe kama ufugaji wa nguruwe,anza hivi mpya wangu;nimeamua kuanza hivi,kilimo na ufugaji unalipa sana,ufugaji wangu unaozingatia mazingira,etc

Search then soma. Ukiwa na maswali zaidi tutakusaidia kaka
 
Wakuu mwenye uzoefu na kujua faida ya ufugaji nguruwe kama ni nzur na jinsi biashara inavoenda anijuze, kwa kufuga Pwani na kuwauza Dar
 
kweli sikio la kufa halisikii dawa, yaani unaacha kufuga wanyama ambao ni halali wewe unang'ang'ania vilivyoharamishwa.
 
Wakuu mwenye uzoefu na kujua faida ya ufugaji nguruwe kama ni nzur na jinsi biashara inavoenda anijuze, kwa kufuga Pwani na kuwauza Dar

Nakusaidia tu ndugu yangu...

"Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilichotajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiyekuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliyefikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu." QURAN, Al-Baqarah 2:173

"Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni NAJISI, kwenu, MSIILE nyama yao, wala MSIIGUSE mizoga yao; hao ni najisi kwenu." -
Walawi 11:7-8


 
Nakusaidia tu ndugu yangu...

“Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilichotajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiyekuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliyefikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.” QURAN, Al-Baqarah 2:173

“Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni NAJISI, kwenu, MSIILE nyama yao, wala MSIIGUSE mizoga yao; hao ni najisi kwenu.” -
Walawi 11:7-8



ha ha ha,nilikua kijiji kimojo
huko jimbo la mchinga
lindi,nilimkuta jamaa mwislam
anamiliki nguruwe mamia kwa
ajili ya biashara
 
ha ha ha,nilikua kijiji kimojo
huko jimbo la mchinga
lindi,nilimkuta jamaa mwislam
anamiliki nguruwe mamia kwa
ajili ya biashara

hata mm kwenye hili waniache kwa kweli!
 
Na iharamishwe kwao tu

"Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni NAJISI, kwenu, MSIILE nyama yao, wala MSIIGUSE mizoga yao; hao ni najisi kwenu." - Walawi 11:7-8
 
hata mm kwenye hili waniache kwa kweli!

"Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni NAJISI, kwenu, MSIILE nyama yao, wala MSIIGUSE mizoga yao; hao ni najisi kwenu." - Walawi 11:7-8
 
“Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni NAJISI, kwenu, MSIILE nyama yao, wala MSIIGUSE mizoga yao; hao ni najisi kwenu.” - Walawi 11:7-8

waliwe na nani mbona husemi?
na je mbwa na nguruwe nani haramu
 
Back
Top Bottom