Samson Ngomboli
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 1,598
- 2,710
Ingehusu mapenzi au umbea ingekua na page 50 saizi.Kawaida ya Jf siku hizi mada za muhimu.. Hazina wachangiaji..
Sato anakula kwa mwaka uzito wake.. Yaan sato mmoja anakula 1kg per year.
Chakula ni mchnganyiko wa virutubisho mbalimbali
-dagaa,uduvi,pumba ya maindi.. Pumba ya mpunga,damu ya mnyama,mifupa,na vitu vingine.. Kupata lishe bora!
Anazaa kulingana na ukubwa wake wastani 500 fly up to 1000.
Kulishwa inategemea.. Na aina ya bwawa lako but recommended mara mbili kwa siku.
Shukrani.. Nikipata muda ntachangia zaidi.
Ulifanikiwa kupata vyakula vya samaki mkuu?Wakuu naombeni msaada wa kujuzwa maduka ambayo naweza pata vyakula vya samaki hasa watoto kilicho katika mfumo wa pellets kwa Dar, natanguliza shukrani.
Je idadi ya samaki ni wangapi? Na hao wenye grams 100 wana miezi mingapi?Kwa siku sato wa grm 100 anapaswa kula kiasi gan cha chakula,
nilifanikiwa kiasi tuu japo si kwavile nilitarajiaUlifanikiwa kupata vyakula vya samaki mkuu?
Ulipata vya kampuni gani? na samaki wako wana miezi mingapi?nilifanikiwa kiasi tuu japo si kwavile nilitarajia
Ruvu, ni samaki wa rafiki yangu wana week mbiliUlipata vya kampuni gani? na samaki wako wana miezi mingapi?
Wana mwez na nusu niliweka 3000 kwenye bwawa la sqm 600Je idadi ya samaki ni wangapi? Na hao wenye grams 100 wana miezi mingapi?
mkuu nielekeze mahala naweza pata msosi maana umeishia niuliza tuu n nimekujibu ila mrejesho sijapataRuvu, ni samaki wa rafiki yangu wana week mbili
1.mchanganyiko wa chakula cha samaki una vitu vingi kulingana a upatikanaji kama, dagaa au vumbi la dagaa, pumba za mahindi au mpunga, damu, chokaa, mifupa iliyosagwa, nazi, mashudu ya alizeti au pamba,Msaada uleaji wa samaki sato 1. Mchanganyiko wa chakula 2. Kiasi cha chakula anachokula kulingana na umri wake 3. Chakula special (pillet) kinapatikana wapi hapa tanzania mi niko mbeya. 4. Hulishwa mara ngapi kwa siku. Samaki hzaa vifanga wangapi
tatizo huwa linakuja pale mtu anapotaka kilakitu apewe hapa sasa si kilamtu anaweza kuandika yote mfano hayo alotaka maana hicho ni kitabu mkuu, inatakiwa mtu aguse kipengele kimoja kimoja ama awe anauelewa flani then anataka nyongezaKawaida ya Jf siku hizi mada za muhimu.. Hazina wachangiaji..
Sato anakula kwa mwaka uzito wake.. Yaan sato mmoja anakula 1kg per year.
Chakula ni mchnganyiko wa virutubisho mbalimbali
-dagaa,uduvi,pumba ya maindi.. Pumba ya mpunga,damu ya mnyama,mifupa,na vitu vingine.. Kupata lishe bora!
Anazaa kulingana na ukubwa wake wastani 500 fly up to 1000.
Kulishwa inategemea.. Na aina ya bwawa lako but recommended mara mbili kwa siku.
Shukrani.. Nikipata muda ntachangia zaidi.
alaf pia watu wanapotoshwa.. Au wanapewa elimu nusunusu hawapewi Uhalisia.. Nawaona tu nakaa kimya kila mtu abebe msalaba wake.. Maana ukiingilia kazi ya mtu unamuharibia soko lake.tatizo huwa linakuja pale mtu anapotaka kilakitu apewe hapa sasa si kilamtu anaweza kuandika yote mfano hayo alotaka maana hicho ni kitabu mkuu, inatakiwa mtu aguse kipengele kimoja kimoja ama awe anauelewa flani then anataka nyongeza
1.mchanganyiko wa chakula cha samaki una vitu vingi kulingana a upatikanaji kama, dagaa au vumbi la dagaa, pumba za mahindi au mpunga, damu, chokaa, mifupa iliyosagwa, nazi, mashudu ya alizeti au pamba,
2.pellet zipo imported kutoka holland, uarabuni na nk..kilo moja inauzwa mpk elfu 3000 inategemea na unataka kwa stage ipi ya samaki, kuna starter, grower na finisher na inakuwaga kwenye uzito wa kilo 25
3.samaki anakula 5%ya body weight akiwa mdogo na inapungua kadri anavyokuwa
0757400897, 0657999034 .
piga simu namba hizo kiongozi..Mkuu naomba unipe vipimo, kwenye bwawa la kufugia sato mita moja ya mraba inatakiwa kuweka samaki wangapi?
karibu sana kiongozi, vifaranga vinapatikana vyote vya sato pamoja na kambale nipigie 0757400897 na 0657999034je kwa dsm vitoto vya sato napata wapi?sio furu!! sato !
Mimi nahitaji sato. Je u po wapi ? Kala ya kununua kwanza uje ukague mazingira. Nikokaribu sana kiongozi, vifaranga vinapatikana vyote vya sato pamoja na kambale nipigie 0757400897 na 0657999034
nipigie tuongee kiongozi, au nitumie PM namba hako ntakupigiaMimi nahitaji sato. Je u po wapi ? Kala ya kununua kwanza uje ukague mazingira. Niko
Mambo ya kipumbavu watu wanayapenda sanaIngehusu mapenzi au umbea ingekua na page 50 saizi.
Sana.Mambo ya kipumbavu watu wanayapenda sana