Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

Kawaida ya Jf siku hizi mada za muhimu.. Hazina wachangiaji..

Sato anakula kwa mwaka uzito wake.. Yaan sato mmoja anakula 1kg per year.

Chakula ni mchnganyiko wa virutubisho mbalimbali
-dagaa,uduvi,pumba ya maindi.. Pumba ya mpunga,damu ya mnyama,mifupa,na vitu vingine.. Kupata lishe bora!

Anazaa kulingana na ukubwa wake wastani 500 fly up to 1000.

Kulishwa inategemea.. Na aina ya bwawa lako but recommended mara mbili kwa siku.

Shukrani.. Nikipata muda ntachangia zaidi.
Ingehusu mapenzi au umbea ingekua na page 50 saizi.
 
kwa elimu ya ufugaji samaki mkoani tanga,na maeneo yajirani Kituo cha wizara ya mifugo na uvuvi, kipo na kinatoa elimu ya ufugaji, ulishaji , kutembelea maeneo na kushauri namna bora ya kujenga bwawa na pia kukupa mbegu bora samaki tafadhali usisite kupiga simu namba 0657999034, 0757400897.
 
Msaada uleaji wa samaki sato 1. Mchanganyiko wa chakula 2. Kiasi cha chakula anachokula kulingana na umri wake 3. Chakula special (pillet) kinapatikana wapi hapa tanzania mi niko mbeya. 4. Hulishwa mara ngapi kwa siku. Samaki hzaa vifanga wangapi
1.mchanganyiko wa chakula cha samaki una vitu vingi kulingana a upatikanaji kama, dagaa au vumbi la dagaa, pumba za mahindi au mpunga, damu, chokaa, mifupa iliyosagwa, nazi, mashudu ya alizeti au pamba,

2.pellet zipo imported kutoka holland, uarabuni na nk..kilo moja inauzwa mpk elfu 3000 inategemea na unataka kwa stage ipi ya samaki, kuna starter, grower na finisher na inakuwaga kwenye uzito wa kilo 25

3.samaki anakula 5%ya body weight akiwa mdogo na inapungua kadri anavyokuwa

0757400897, 0657999034 .
 
Kawaida ya Jf siku hizi mada za muhimu.. Hazina wachangiaji..

Sato anakula kwa mwaka uzito wake.. Yaan sato mmoja anakula 1kg per year.

Chakula ni mchnganyiko wa virutubisho mbalimbali
-dagaa,uduvi,pumba ya maindi.. Pumba ya mpunga,damu ya mnyama,mifupa,na vitu vingine.. Kupata lishe bora!

Anazaa kulingana na ukubwa wake wastani 500 fly up to 1000.

Kulishwa inategemea.. Na aina ya bwawa lako but recommended mara mbili kwa siku.

Shukrani.. Nikipata muda ntachangia zaidi.
tatizo huwa linakuja pale mtu anapotaka kilakitu apewe hapa sasa si kilamtu anaweza kuandika yote mfano hayo alotaka maana hicho ni kitabu mkuu, inatakiwa mtu aguse kipengele kimoja kimoja ama awe anauelewa flani then anataka nyongeza
 
alaf pia watu wanapotoshwa.. Au wanapewa elimu nusunusu hawapewi Uhalisia.. Nawaona tu nakaa kimya kila mtu abebe msalaba wake.. Maana ukiingilia kazi ya mtu unamuharibia soko lake.

Ushauri wangu watu wajitahidi kufanya kitu na sio kuish kinadharia.. Kuna mambo mengi kuhsu sato.. Very interesting.. Unatakiwa Umjue sato ndo uje ujue ufugaji wake na sio kuanza kujua ufugaji kabla ya kukijua unachokifuga.
 
1.mchanganyiko wa chakula cha samaki una vitu vingi kulingana a upatikanaji kama, dagaa au vumbi la dagaa, pumba za mahindi au mpunga, damu, chokaa, mifupa iliyosagwa, nazi, mashudu ya alizeti au pamba,
2.pellet zipo imported kutoka holland, uarabuni na nk..kilo moja inauzwa mpk elfu 3000 inategemea na unataka kwa stage ipi ya samaki, kuna starter, grower na finisher na inakuwaga kwenye uzito wa kilo 25
3.samaki anakula 5%ya body weight akiwa mdogo na inapungua kadri anavyokuwa

0757400897, 0657999034 .

Mkuu naomba unipe vipimo, kwenye bwawa la kufugia sato mita moja ya mraba inatakiwa kuweka samaki wangapi?
 
karibu sana kiongozi, vifaranga vinapatikana vyote vya sato pamoja na kambale nipigie 0757400897 na 0657999034
Mimi nahitaji sato. Je u po wapi ? Kala ya kununua kwanza uje ukague mazingira. Niko
 
Back
Top Bottom