1.mchanganyiko wa chakula cha samaki una vitu vingi kulingana a upatikanaji kama, dagaa au vumbi la dagaa, pumba za mahindi au mpunga, damu, chokaa, mifupa iliyosagwa, nazi, mashudu ya alizeti au pamba,
2.pellet zipo imported kutoka holland, uarabuni na nk..kilo moja inauzwa mpk elfu 3000 inategemea na unataka kwa stage ipi ya samaki, kuna starter, grower na finisher na inakuwaga kwenye uzito wa kilo 25
3.samaki anakula 5%ya body weight akiwa mdogo na inapungua kadri anavyokuwa
0757400897, 0657999034 .