Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

Asante sana Kiongozi. Yaani kwangu maji siyo tatizo kabisa 99.99999% reliablity and availability. Agenda itabaki kwenye upatikanaji wa chakula bora na vifaranga bora. ngoja niingie mzigoni
Chakula 25,000/= pale Big Fish, ni pellets
 
Mkuu tatizo saiv kuna yatizo la vyakula vya samaki yan vinauzwa bei kubwa sana sasa inakatisha tamaa. Pia saiv waingizaji weng hawajaingiza toka sekeseke la mdudu covid
 

Mimi nahitaji samaki wa kununua sato waliotayari kuvunwa tani 2 unao?
 
Mkuu kambale ninao Tena wako live wako wengi Sana mmoja ntakuuzia buku jero Ni wakubwa Sana sema unahitaji wangapi shamba linapatikana Mkata -Tanga 0657999034

mambo vipi kambare bado unahusika nao? na bado unao kwa kipindi hichi niko na uhitaji wa tani 2
 
Wana JF

Tanzania imebarikiwa kuwa na vyanzo vya maji ya asili ikiwemo mito, mabwawa, maziwa, bahari, chemchem nk. Kutokana na vyanzo hivi tunapata samaki wa aina mbalimbali wakiwemo perege/sato, kambale, kambamiti (prawns), vibua, changu, kaa n.k...
Ndugu wewe uliona mbali sana.
 
Habari wakuu, nitaweza pata nguruwe 2 wajawazito, mbegu Ujerumani kwa ajili ya ufugaji
 
Hivi samaki kama wale wanaopatikana bwawa la nyumba ya mungu, wanafugika?Migebuka? Je nawezaje kupata mbegu?
 
Mkuu nipo katka early stage za ufugaji wa Tilapia, wana miezi miwili na nimewapima wana gram 100 toka walivyokua vifaranga kwa wastani, inaonyesha ni jinsi ya unavyowalisha na chakula aina gani

Mfano kuwalisha zile pellets mahesabu yake inabidi iweje kwa samaki 300
 
Wakuu habari za muda huu, nimefanya tafiti ya wafugaji wengi wa samaki hupendelea kufuga sato na kambale, sijabahatika kuona sangara. Mwenye utaalamu na hili anijuze je, sangara hawafugiki kwenye mabwawa ya kujengwa kwa cementi?
 
Wakuu habari za muda huu, nimefanya tafiti ya wafugaji wengi wa samaki hupendelea kufuga sato na kambale, sijabahatika kuona sangara. Mwenye utaalamu na hili anijuze je, sangara hawafugiki kwenye mabwawa ya kujengwa kwa cementi?
Hata mimi natamani kujua
 
Nipo Kanda ya Ziwa Kijiji cha Nyasho mkoa wa Mara ..nataka nianze ufugaji wa samaki wa kwenye mabwawa naomba ushauri !!
Mtaji
Madawa
Ujengaji wa mabwawa
Dawa
Chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…