Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

Asante sana Kiongozi. Yaani kwangu maji siyo tatizo kabisa 99.99999% reliablity and availability. Agenda itabaki kwenye upatikanaji wa chakula bora na vifaranga bora. ngoja niingie mzigoni
Chakula 25,000/= pale Big Fish, ni pellets
 
Mkuu wanalipa sana. Samaki aina ya sato wasiozaliana nimeanza kufuga na nimeuza. Siku hizi Kuna chakula Cha kisasa (Pellets) ambacho unaweza kuwapa Samaki wako. Haina haha ya kuozesha bwawa. Bwawa litaondolewa utando wote kwa hiyo linakuwa Safi muda wote. Kama upo Dar Es Salaam nenda Big Fish pale Kigamboni wtatakushauri vema.
Mkuu tatizo saiv kuna yatizo la vyakula vya samaki yan vinauzwa bei kubwa sana sasa inakatisha tamaa. Pia saiv waingizaji weng hawajaingiza toka sekeseke la mdudu covid
 
Mkuu wanalipa sana. Samaki aina ya sato wasiozaliana nimeanza kufuga na nimeuza. Siku hizi Kuna chakula Cha kisasa (Pellets) ambacho unaweza kuwapa Samaki wako. Haina haha ya kuozesha bwawa. Bwawa litaondolewa utando wote kwa hiyo linakuwa Safi muda wote. Kama upo Dar Es Salaam nenda Big Fish pale Kigamboni watakushauri vema.

Mimi nahitaji samaki wa kununua sato waliotayari kuvunwa tani 2 unao?
 
Wana JF

Tanzania imebarikiwa kuwa na vyanzo vya maji ya asili ikiwemo mito, mabwawa, maziwa, bahari, chemchem nk. Kutokana na vyanzo hivi tunapata samaki wa aina mbalimbali wakiwemo perege/sato, kambale, kambamiti (prawns), vibua, changu, kaa n.k...
Ndugu wewe uliona mbali sana.
 
Hivi samaki kama wale wanaopatikana bwawa la nyumba ya mungu, wanafugika?Migebuka? Je nawezaje kupata mbegu?
 
Mkuu nipo katka early stage za ufugaji wa Tilapia, wana miezi miwili na nimewapima wana gram 100 toka walivyokua vifaranga kwa wastani, inaonyesha ni jinsi ya unavyowalisha na chakula aina gani

Mfano kuwalisha zile pellets mahesabu yake inabidi iweje kwa samaki 300
 
Wakuu habari za muda huu, nimefanya tafiti ya wafugaji wengi wa samaki hupendelea kufuga sato na kambale, sijabahatika kuona sangara. Mwenye utaalamu na hili anijuze je, sangara hawafugiki kwenye mabwawa ya kujengwa kwa cementi?
 
Wakuu habari za muda huu, nimefanya tafiti ya wafugaji wengi wa samaki hupendelea kufuga sato na kambale, sijabahatika kuona sangara. Mwenye utaalamu na hili anijuze je, sangara hawafugiki kwenye mabwawa ya kujengwa kwa cementi?
Hata mimi natamani kujua
 
Nipo Kanda ya Ziwa Kijiji cha Nyasho mkoa wa Mara ..nataka nianze ufugaji wa samaki wa kwenye mabwawa naomba ushauri !!
Mtaji
Madawa
Ujengaji wa mabwawa
Dawa
Chakula
 
5866EB67-505D-47BF-AEE6-8D8F7B635DD4.jpeg
44936C87-CAAA-449D-A8D1-1DC08C223162.jpeg
43EAD893-9788-4F39-87EA-FA2F06EFBF86.jpeg
65C148C0-F946-4C98-99E2-16F66683FC92.jpeg
387DE197-CB21-4AD8-9E5E-5E312F890E5C.jpeg
B970405B-169C-46E8-AA37-F1EE36123348.jpeg
276DBD87-5F7F-4336-909F-0FC8AF22903D.jpeg
78C70805-D3DA-455D-B197-C62DAD1441CF.jpeg

Tani 25 chakula cha samaki toka zimbabwe...
 
Back
Top Bottom