Chakula 25,000/= pale Big Fish, ni pelletsAsante sana Kiongozi. Yaani kwangu maji siyo tatizo kabisa 99.99999% reliablity and availability. Agenda itabaki kwenye upatikanaji wa chakula bora na vifaranga bora. ngoja niingie mzigoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chakula 25,000/= pale Big Fish, ni pelletsAsante sana Kiongozi. Yaani kwangu maji siyo tatizo kabisa 99.99999% reliablity and availability. Agenda itabaki kwenye upatikanaji wa chakula bora na vifaranga bora. ngoja niingie mzigoni
Mkuu tatizo saiv kuna yatizo la vyakula vya samaki yan vinauzwa bei kubwa sana sasa inakatisha tamaa. Pia saiv waingizaji weng hawajaingiza toka sekeseke la mdudu covidMkuu wanalipa sana. Samaki aina ya sato wasiozaliana nimeanza kufuga na nimeuza. Siku hizi Kuna chakula Cha kisasa (Pellets) ambacho unaweza kuwapa Samaki wako. Haina haha ya kuozesha bwawa. Bwawa litaondolewa utando wote kwa hiyo linakuwa Safi muda wote. Kama upo Dar Es Salaam nenda Big Fish pale Kigamboni wtatakushauri vema.
Dodoma kuna mzee mmoja yupo mitaa ya hapo mipango yeye anafuga unaweza jidogeza hapo ukajioneeKuna mtu anajua gharama za kuchimba bwawa Kwa Dodoma na gharama za kucimba Kisima?
Mkuu wanalipa sana. Samaki aina ya sato wasiozaliana nimeanza kufuga na nimeuza. Siku hizi Kuna chakula Cha kisasa (Pellets) ambacho unaweza kuwapa Samaki wako. Haina haha ya kuozesha bwawa. Bwawa litaondolewa utando wote kwa hiyo linakuwa Safi muda wote. Kama upo Dar Es Salaam nenda Big Fish pale Kigamboni watakushauri vema.
Mkuu kambale ninao Tena wako live wako wengi Sana mmoja ntakuuzia buku jero Ni wakubwa Sana sema unahitaji wangapi shamba linapatikana Mkata -Tanga 0657999034
Ndugu wewe uliona mbali sana.Wana JF
Tanzania imebarikiwa kuwa na vyanzo vya maji ya asili ikiwemo mito, mabwawa, maziwa, bahari, chemchem nk. Kutokana na vyanzo hivi tunapata samaki wa aina mbalimbali wakiwemo perege/sato, kambale, kambamiti (prawns), vibua, changu, kaa n.k...
Mkuu nipo katka early stage za ufugaji wa Tilapia, wana miezi miwili na nimewapima wana gram 100 toka walivyokua vifaranga kwa wastani, inaonyesha ni jinsi ya unavyowalisha na chakula aina ganiSamaki wa mwezi mmoja au miwili anaweza kuwa na uzito gani?
Mkuu nipo katka early stage za ufugaji wa Tilapia, wana miezi miwili na nimewapima wana gram 100 toka walivyokua vifaranga kwa wastani, inaonyesha ni jinsi ya unavyowalisha na chakula aina gani
Hata mimi natamani kujuaWakuu habari za muda huu, nimefanya tafiti ya wafugaji wengi wa samaki hupendelea kufuga sato na kambale, sijabahatika kuona sangara. Mwenye utaalamu na hili anijuze je, sangara hawafugiki kwenye mabwawa ya kujengwa kwa cementi?
huu mradi upo wap?