Nyamgluu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2006
- 3,160
- 1,726
nipm nikupe contact za afisa uvuvi mtaalam sana ye nimstaafu kwa sasa wengi anawafanyia hizo kazi but yupo Iringa town
mkuu nimeku pm. Je umepata? na shida sana na huyo bwana samaki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nipm nikupe contact za afisa uvuvi mtaalam sana ye nimstaafu kwa sasa wengi anawafanyia hizo kazi but yupo Iringa town
Kuna sehemu ukilima msimu wa kwanza wakiona mazao unayopata hawakutaki tena, wanaanzisha zengwe wanasema huyu tajiri wa Dsm anatuletea fujo.
mkuu nimeku pm. Je umepata? na shida sana na huyo bwana samaki.
Watu wengine wanalete utani kwenye vitu sensitive huyu mtu nimepm leo siku ya tatu hakuna kitu!
Be great thinker!
mbona nimekupa no.toka jana?Watu wengine wanalete utani kwenye vitu sensitive huyu mtu nimepm leo siku ya tatu hakuna kitu!
Be great thinker!
Hiyo ilinikuta sehemu. Kilosa/Mvomero pia wanamtindo huo, wanakupa bonge la pori/msitu bure, wanakwambia safisha na ulime. Sasa ukishasafisha lile pori vizuri wanazusha kasheshe kwamba lile eneo limeuzwa kimakosa kwa hiyo si halali wewe kulifanyia kazi. unaweza kumng`oa mtu nywere kwa mikono.
samaki wa sato na sangara wanafaa sana kwenye maji ya jinsi gani naikiwa nataka kufuga hapa dar es salaam nahitaji kuwa na eneo la ukubwa gani na maji ya ujazo gani bwawani ili niweze kufuga samaki aina ya sato na sangara?
Bwawa la samaki limapaswa kujengwa vp ili kuwa na Tij? ukubwa gani wa bwawa unatakiwa ili kuwa na biashara yenye kipato kizuri?
1.Mkuu naomba uniambie ni species zipi zinazo kubali kwenye hali ya baridi sana ambazo nikifuga zinalipa,muda wa ukuaji na chakula?2.magonjwa ya samaki ni yapi?
Mkuu hizo karatasi za kujengenea bwawa huwa zinapatikana wapi? na je zipo za ukubwa gani? Nataka kujenga bwawa karatu, ila Udongo nazani ni wa Mfinyazi ni ule mwekundu uno nata kama gundi wakati wa Mvua, vipi inhitajika nylon hapo?
Simtank moja kubwa la lita kama 10,000 wanaingia samaki wangapi?
Na hayo makasha kama matanki ya chini yanapatikana hapa kwetu?
Kama ni umbali wa zaidi ya masaa 6 unahitaji hilo truck. Lakini chini ya hapo unaweza ukawahifadhi na barafu yenye maji kiasi (chilling). Lakini unaweza ukatumia chilling method kwa safari ya zaidi ya masaa 6 ikiwa utafanya timing ya kusafiri wakati hakuna jua. Wataalam wa quality assurance watatusaidia hapaTunashukuru sana Mkuu ubarikiwe mimi swali langu ni kuhusu usafirishaji kama mabwawa yapo mbali na soko je ni njia gani salama ya kusafirisha bila samaki kuharibika? Au Lazima uwe na Refrigirated Trucks?
Mkuu Hewa ya Ziada inawekwaje kwenye bwawa?