Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

Wana-JF,
Natafuta chakula cha samaki kwa ajili ya mradi wangu wa samaki aina ya sato.
Aina ya chakula hicho cha samaki lazima kiwe ni floating pellets.
Kwa kuanzia nahitaki kilo 10 kwa mwezi.
Hapo baadaye, naweza kuhitaji hadi kilo 20 kwa mwezi.
Mimi niko Dar es Salaam.

Asanteni,

Roky.
 
Eh! kuna mtaalam mmoja aliwahi kunambia kuwa samaki wanapenda uwavundikie kinyesi cha kuku / ng'ombe then uwatolee wadudu na kuwapa; itasaidia hiyo au alikuwa mtaalam wa ubabaishaji?
 
Mkuu fomula za kutengeneza zipo nyingi kwa kilo kumi sidhani kama unahitaji supply...ingekua tani moja na kuendelea ndo ningekueleza namna ya kukipata...
 
Eh! kuna mtaalam mmoja aliwahi kunambia kuwa samaki wanapenda uwavundikie kinyesi cha kuku / ng'ombe then uwatolee wadudu na kuwapa; itasaidia hiyo au alikuwa mtaalam wa ubabaishaji?

Naona labda hii inaweza kusaidia kama unafuga samaki wachache. Samaki wengi kama wangu itakuwa ni chamgamoto kupata hiyo samadi ya kutosha kuzalisha wadudu wengi.
 
Mkuu fomula za kutengeneza zipo nyingi kwa kilo kumi sidhani kama unahitaji supply...ingekua tani moja na kuendelea ndo ningekueleza namna ya kukipata...

Asante mkuu.

Nitashukuru sana kama utanidokezea hiyo formula ya kutengeneza chakula hicho ili nipate floating pellets.

Ila sio mbaya pia kama utanielekeza wapi pa kupata hicho chakula kuanzia tani moja na kuendelea.

Asante mkuu.
 
Naona labda hii inaweza kusaidia kama unafuga samaki wachache. Samaki wengi kama wangu itakuwa ni chamgamoto kupata hiyo samadi ya kutosha kuzalisha wadudu wengi.

Bwawa lako lina ukubwa gani na umelitengeneza kwa utaalam upi? Binafsi nahitaji kujaribu kufuga samaki kwani hawashambuliwi na magonjwa kama ilivyo kwa kuku.
 
  • Thanks
Reactions: bmy
Asante mkuu.
Nitashukuru sana kama utanidokezea hiyo formula ya kutengeneza chakula hicho ili nipate floating pellets.
Ila sio mbaya pia kama utanielekeza wapi pa kupata hicho chakula kuanzia tani moja na kuendelea.
Asante mkuu.
Mkuu cheki info za tilapia feeds vyakula vingi kama.unafuga wengi unaweza agiza india au china by the way mkuu uki google tu kuna formula nyingi kwenye net on how to grow fish feed locally...naona zipo njia tofauti tofauti kwendana na availability ya materials
 
Bwawa lako lina ukubwa gani na umelitengeneza kwa utaalam upi? Binafsi nahitaji kujaribu kufuga samaki kwani hawashambuliwi na magonjwa kama ilivyo kwa kuku.

Bwawa langu lina ukubwa wa mita 3 kwa mita 8. Ni bwawa lililojengwa kwa matofali. Bwawa hili lilijengwa bila utaalam wowote ule, ni kuinua ukuta tu toka ardhini.

Urefi wa kwenda juu ni matofali 4, hivyo bwawa limekua kama box.

Bwawa limewekewa outlet yenye koki ili kuwezesha kutoa maji yanapochafuka.
Kwa ndani, bwawa limesakafiwa kwa cement laini (nilu) ili kutovujisha maji.

Asante mkuu.
 
Mkuu cheki info za tilapia feeds vyakula vingi kama.unafuga wengi unaweza agiza india au china by the way mkuu uki google tu kuna formula nyingi kwenye net on how to grow fish feed locally...naona zipo njia tofauti tofauti kwendana na availability ya materials

Okay, thanks.
 
Wana JF. katika pitapita yangu ya kutafuta info ndio nikakutana na huu mjadala. naomba na mimi mnisaidie hapo. nataka kujua mambo makubwa matatu

1. Bwawa la samaki linapaswa kuwa na urefu gani kwa kwenda chini ili samaki waishi kwenye hali nzuri zaidi?

2. Naomba mtu mwenye kuweza anipe mchanganuo japo in a nutshell (wanasema wazungu) wa gharama na faida maana watu wengi wanaishia kusema inahitaji mtaji kidogo ila sjajua kidogo ni kiasi gani.

3. naomba kujuwa jinsi ya kubadilisha maji kwenye bwawa la samaki.

Nipo siriaz wandugu coz kuna kazi meajiriwa nataka niache kwa sababu yaani hizi kazi hata kwenda nyumbani tuu inabidi uombe ruhusa? nataka niache huu utumwa. I have got almost resource zote natafta knowledge tuu.
 
Kuhusu. Mtaji alikwambia kaongopa kwan mtaji watakiwa. Mkubwa kwanza uchimbaj Chanson cha Maj cha kudumu vyakula na Maintenance ya kilacku hivyo. Gharama zahitajika vile vile faida.

Ukifikia kuvuna. Kubwa pia
Pia maji kutoka na Kuingia ni kulingana na muundo wa bwawa. Yaan lijengwapo lazima. Kuwe na inlet na outlet way kuruhusu kuingia na kutoka
 
Wana JF. katika pitapita yangu ya kutafuta info ndio nikakutana na huu mjadala. naomba na mimi mnisaidie hapo. nataka kujua mambo makubwa matatu
1. Bwawa la samaki linapaswa kuwa na urefu gani kwa kwenda chini ili samaki waishi kwenye hali nzuri zaidi?
2. Naomba mtu mwenye kuweza anipe mchanganuo japo in a nutshell(wanasema wazungu) wa gharama na faida maana watu wengi wanaishia kusema inahitaji mtaji kidogo ila sjajua kidogo ni kiasi gani.
3. naomba kujuwa jinsi ya kubadilisha maji kwenye bwawa la samaki.

Nipo siriaz wandugu coz kuna kazi meajiriwa nataka niache kwa sababu yaani hizi kazi hata kwenda nyumbani tuu inabidi uombe ruhusa???nataka niache huu utumwa. I have got almost resource zote natafta knowledge tuu.
Mkuu kuna topic nilianzisha hapa juu ya ufugaji wa samaki search kama inavyoonekana hapo chini.

pata-ushauri-wa-ufugaji-samaki-hapa
 
Ahsante sana kaka, ninawazo la kufuga samaki aina ya sato na nilikuwa sina details za kujitosheleza kama hizo. Umenifumbua macho kiasi kikubwa. Sasa wapi nitapata hiyo UFUGAJI WA SAMAKI1 maana naona hiyo ni 2, au 1 ilikuwa inahusu nini haswa. Thanks again
 
Asante kwa elimu uliyoitoa ya ufugaji wa samak,mimi ninataka kufuga Sato Mwanza. Lakini ninataka samaki wenye uzito wa kuanzia 1.5-2kg,je wanaweza kufikia uzito huo bbaada ya muda gain? Nikitaka kufuga samaki 50,000 ninahitaji bwawa la ukubwa gani?.
 
Shalom wanajamii

Nataka ku-invest 10 millions katika ujenzi wa bwawa na kuanza uzalishaji wa samaki aina Tilapia. Bado naendelea na utafiti, ku-share experience na watu wenye uzoefu na wataalam wa mambo haya. Naomba mwenye uzoefu katika hili asaidie haya

1. Is it a viable project?

2. Je, what to do in order to get "pay back" in three years of production?

3. Are there any short-backs and risks?

4. Any other situational conditions?..

Nawasilisha
 
Mkuu kama ni Mwanza wasiwasi wangu ni how you can compete in market with those cheap SATOS from the lake, kimsingi ufugaji wake ni advantegeous maeneo yasiyo na natural availability ya hao fish because ufugaji wake ni costful compared to fishing ziwani. Kuhusu utaalamu, ushauri na uzoefu m PM mkuu Slave mtaenda sawa, yeye ni mdau mzoefu katika sekta hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Shalom wanajamii

Nataka ku-invest 10 millions katika ujenzi wa bwawa na kuanza uzalishaji wa samaki aina Tilapia. Bado naendelea na utafiti, ku-share experience na watu wenye uzoefu na wataalam wa mambo haya. Naomba mwenye uzoefu katika hili asaidie haya

1. Is it a viable project?

2. Je, what to do in order to get "pay back" in three years of production?

3. Are there any short-backs and risks?

4. Any other situational conditions?..

Nawasilisha
Mradi ni viable mkuu, kwanza nikutoe wasiwasi kuhusu soko kwa maana Lipo open hata kama upo karibu na ziwa. Uzalishaji au uvunaji wa samaki hawa upo chini kuliko mahitaji. Sato wavumilivu wa mazingira.

Ila mkuu unaandika business plan au uko serious na mradi? With 10m utafanya vema. Cha msingi udongo wa eneo lako ukoje, chanzo cha maji kipi unategemea?
 
Back
Top Bottom