frankisrael
Member
- Aug 27, 2013
- 38
- 7
Wapo kinguluwira morogoro kila aina ya samaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eh! kuna mtaalam mmoja aliwahi kunambia kuwa samaki wanapenda uwavundikie kinyesi cha kuku / ng'ombe then uwatolee wadudu na kuwapa; itasaidia hiyo au alikuwa mtaalam wa ubabaishaji?
Mkuu fomula za kutengeneza zipo nyingi kwa kilo kumi sidhani kama unahitaji supply...ingekua tani moja na kuendelea ndo ningekueleza namna ya kukipata...
Naona labda hii inaweza kusaidia kama unafuga samaki wachache. Samaki wengi kama wangu itakuwa ni chamgamoto kupata hiyo samadi ya kutosha kuzalisha wadudu wengi.
Mkuu cheki info za tilapia feeds vyakula vingi kama.unafuga wengi unaweza agiza india au china by the way mkuu uki google tu kuna formula nyingi kwenye net on how to grow fish feed locally...naona zipo njia tofauti tofauti kwendana na availability ya materialsAsante mkuu.
Nitashukuru sana kama utanidokezea hiyo formula ya kutengeneza chakula hicho ili nipate floating pellets.
Ila sio mbaya pia kama utanielekeza wapi pa kupata hicho chakula kuanzia tani moja na kuendelea.
Asante mkuu.
Bwawa lako lina ukubwa gani na umelitengeneza kwa utaalam upi? Binafsi nahitaji kujaribu kufuga samaki kwani hawashambuliwi na magonjwa kama ilivyo kwa kuku.
Mkuu cheki info za tilapia feeds vyakula vingi kama.unafuga wengi unaweza agiza india au china by the way mkuu uki google tu kuna formula nyingi kwenye net on how to grow fish feed locally...naona zipo njia tofauti tofauti kwendana na availability ya materials
Mkuu kuna topic nilianzisha hapa juu ya ufugaji wa samaki search kama inavyoonekana hapo chini.Wana JF. katika pitapita yangu ya kutafuta info ndio nikakutana na huu mjadala. naomba na mimi mnisaidie hapo. nataka kujua mambo makubwa matatu
1. Bwawa la samaki linapaswa kuwa na urefu gani kwa kwenda chini ili samaki waishi kwenye hali nzuri zaidi?
2. Naomba mtu mwenye kuweza anipe mchanganuo japo in a nutshell(wanasema wazungu) wa gharama na faida maana watu wengi wanaishia kusema inahitaji mtaji kidogo ila sjajua kidogo ni kiasi gani.
3. naomba kujuwa jinsi ya kubadilisha maji kwenye bwawa la samaki.
Nipo siriaz wandugu coz kuna kazi meajiriwa nataka niache kwa sababu yaani hizi kazi hata kwenda nyumbani tuu inabidi uombe ruhusa???nataka niache huu utumwa. I have got almost resource zote natafta knowledge tuu.
Mradi ni viable mkuu, kwanza nikutoe wasiwasi kuhusu soko kwa maana Lipo open hata kama upo karibu na ziwa. Uzalishaji au uvunaji wa samaki hawa upo chini kuliko mahitaji. Sato wavumilivu wa mazingira.Shalom wanajamii
Nataka ku-invest 10 millions katika ujenzi wa bwawa na kuanza uzalishaji wa samaki aina Tilapia. Bado naendelea na utafiti, ku-share experience na watu wenye uzoefu na wataalam wa mambo haya. Naomba mwenye uzoefu katika hili asaidie haya
1. Is it a viable project?
2. Je, what to do in order to get "pay back" in three years of production?
3. Are there any short-backs and risks?
4. Any other situational conditions?..
Nawasilisha