Ugaidi Tanzania Unafanikiwa

we bibi watu wauawe wafanyiwe ukatili jamii ikae kimya? ushauri huu umeutoa kufuatia mapenzi yako huko ccm lkn nina uhakika kama saa8 angekuwa nduguyo lzm ungefikiri tofauti. haki huinua taifa.
 
The syntax is fcuked up.

Try saying it loud and see if it makes sense [that is if you know...if you don't know it'll probably make sense but it doesn't].

Cut the BS. Am I saying anything here? I'm simply typing, shove your syntax in your behind dude.
 


Kumbe wewe wakati mwingine unakuwa na akili zilizoenda shule, big up. Ngoja nikuchum, mwaaaaaah!
 

chungu#chunga.

wewe bibi unaelewa sema ni mbishi tuu.

kama imethibitika mahakamani ni tusii sheria ifanye kazi hatupingi hiloo.
 
we bibi watu wauawe wafanyiwe ukatili jamii ikae kimya? ushauri huu umeutoa kufuatia mapenzi yako huko ccm lkn nina uhakika kama saa8 angekuwa nduguyo lzm ungefikiri tofauti. haki huinua taifa.

Sijaona mtu akipigia kelele ugaidi wa kweli unaofanyika Kusini, au wale si binadam wanaouwawa kule?
 
Well, Kama inabidi tupige kelele mbona tumekaa kimya wakati wenyeviti wa mitaa wa CCM wanauliwa kigaidi huku Mkuranga na Rufiji?

Kuna matukio yanayoashiria ugaidi zaidi ya hayo kwa sasa?
Tunakaa kimya kwasababu tunaweza tukawa tunahusika nayo kwa namna moja au nyingine
 
Tanzania hadi sasa kuna kikundi cha kigaidi kinachotambuliwa na serikali na msajili wa vyama ... UVCCM wengi wao ni magaidi, wauaji na watekaji .. Hata Bashite anayesumbua watu mjini kwa sasa naye ni zao la UVCCM..

UVCCM ni chaka la magaidi ..
 
Alafu kumbuka yulee Mr policeman aliulizwa swali kuhusu utekaji kwamba ni ugaidi tuseme au ujambazi au unausishwa nanini? Majibu yake namnukuu alisema kutekwa hakujaanza Leo ni matukio ya kawaida tuu kwahiyo ni sawa wanavyokaa kimya sababu hawajaona bado tishio la ugaidi
 
Sijaona mtu akipigia kelele ugaidi wa kweli unaofanyika Kusini, au wale si binadam wanaouwawa kule?
kutopigia kelele mauaji ya kusini, siyo kwamba unaunga mkono mauaji hayo lkn hata wewe unaweza kupigia kelele mauaji hayo lakini kutaka watu wanyamaze wakati watz wanateswa au kuawa siyo kitendo cha busara.
 
Kiongozi wa ugaidi nchini ni faiza foxy sijui leo kaokoka kawa mfuasi wa gwajima
 
Cut the BS. Am I saying anything here? I'm simply typing, shove your syntax in your behind dude.
When you can't debate the points you resort to insults[emoji23].

And just so you know...'saying' something doesn't necessarily have to be verbal/ spoken.

You can 'say' something through writing/ typing.

Only a dumbbell with a severely parochial linguistic knowledge would think 'saying' something has to only be verbal!

FOH!
 
Ni njia mojawapo ya kupigana na ugaidi, Watanzania wote ni ndugu na yanayowafika hata mimi yananihusu na ndiyo maana nimeleta mjadala huu.
Hapana, kwanza sidhani kama umefikia kiwango hicho cha kumchukulia kila mtanzania ni ndugu. Wataalam watanisahihisha lakini nadhani kuna UNDUGU na UDUGU. Undugu is more touching. When you miss, you real miss him or her. Ni vigumu kukaa kimya.

King Cobra
 

Sidhani kama una uelewa wa neno ndugu na undugu.

Whatever.

Kama unao au hauna ni namna ya fikra zako tu, kuna ndugu wa tumbo moja na hawaelewani.

Undugu wetu ni wa Utanzania.
 
Nilidhani uzi huu watakuja critical thinkers na kuanza kuchambua matukio ya hivi karibuni ili tuone lipi linafaa kuwekwa kwenye ugaidi na lipi halifai.

Mpaka sasa sijaona isipokuwa post mbili tatu zimeanza lakini hazikumalizia.

Hivi matukio yepi ya hivi karibuni tunaweza kuyahusisha na ugaidi?
 

Hivi we madam.
Kwenye tukio LA nape kuonyeshewa bastola na kuzuiwa asiongee na waandishi.
Na kwenye tukio na bashite kuvamia clouds TV.
Na ishu ya bashite kufoji vyeti.
Vitu au ishu nilizotaja hapo juu zimetawala vyombo vya habari Hivi sasa.
Kwenye hii thread yako Gaidi atakuwa nani?
Mwisho ni hivi Kwa hii thread uliyoianzisha imekushusha thamani sana hapa JF.
Mimi binafsi nilikuwa nakuchukulia kama great thinker wa hadhi ya u brigedia general Kwa hii thread yako you are now a mere koplo.
 
Watekaji wanakuja na bastola serikali haitumii bastola (kwa sauti ya mwakyembe ) kukaa kimya haiwezekani
 
Hata uvamizi wa Mawingu Media ni tukio la ugaidi,na kwa kuwa Kiongozi wa uvamizi alionekana dhahiri then Gaidi Mkuu anajulikana
Wacha kupinda pinda
 
Tukio la Mawingu media kwa kuwa Kiongozi wa uvamizi alionekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…