Mwalimu unakuja na subtopic, theni unataka wanafunzi waje na full topic well done ss, ilitakiwa uelezee kiunagaubaga ili ueleweke sasa hapa unakiri udhaifu wako. Si ungekuja na mada complete kuhusu huo ugaidi wa kugeuza mtizamo.
HAKIKA TUKIKAA KIMYA MAWE YATASEMA. Wacha watu tufungukeee [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ilitakiwa ufafanue huo ugaidi w kugeuza mtizamo, kama sijakosea ni conspiracyKwa lipi?
Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni ugaidi (terrorism).
Lengo la ugaidi ni kuwatia watu hofu na kufikisha ujumbe kwa wengi kwa njia ya hofu.
Matukio yanayoongelewa sana kwenye vyombo vya habari na mitandao yote ya kijamii mpaka nchi za nje kwa sasa ni hayo, kuanzia watu kutekwa, kutolewa bastola hadharani, mauaji ya Kusini huko, watu kukutwa kwenye viroba, kupotea kwa watu na mengi mengineyo, yote yanaashiria ugaidi.
Magaidi hujitokeza na kusema sisi ndiyo tuliyoyafanya hayo ili waogopwe au matakwa yao yatimizwe au hukaa kimya na kuwachochea kivingine kwa lengo hilo hilo.
Matukio ya ugaidi yanapotokea pia hujitokeza wengine ambao hutumia fursa hiyo kufikisha ujumbe wao kwa njia tofauti.
Kwa yanayotokea Tanzania, ukweli ni kuwa, kuna wanaofanya huo ugaidi wa kutisha na kuna wanaotumia huo gaidi kama ni fursa kwao kufikisha ujumbe wao ama kwa kuongezea ugaidi mwingine au kwa kuendeleza hofu kwenye jamii na vyombo husika.
Watanzania tunachotakiwa kufanya ni kukaa kimya na kufunga hii mijadala yote na kuwacha kuripoti matukio yote ya kigaidi ili kushindana na ugaidi.
Gaidi kama matukio yake hayaongelewi kazi yake inakuwa haijafanikiwa.
Au leta mawazo yako ni njia gani zitumike kutatuwa hili tatizo "linalotukabili".
Kwa muono wangu, kila tunapoyaongea na kuyasambaza ndiyo furaha ya magaidi na ndiyo lengo lao, wengi wajawe na hofu.
Kwanini? Mie sijuwi.
Tatizo ni viongozi wa Serikali hawataki kujadili swala la amani/hofu Mfano hoja hii ya kuhusu hofu lilizimwa Bungeni. Wa bunge wana wakilisha wananchiNdg Watanzia Mimi niseme na Selikali kwa mda huu mfupi nilioupata ,Mh Rais na Wizara ya ulinzi na ya Mambo ya ndani Niombe Mdhamilie na mtoe tamko la Yamekwisha haya matukio yote ya kinyama ya nayofanywa na wasio tutakia ustawi wa Amani yetu tuliodumu nayo tangu kuwepo kwa Taifa letu ,Tunaamini uwezo mno na nia mnayo pia sababu mnoyo ya kusema basi imetosha,Nakumbuka Bw Mrema aliwahi kutoa matamko alipokuwa waziri wa mambo ya ndani ,Silaha zilisalimishwa na Vifaa vya kuandalia pombe haramu ya gongo vilisalimishwa kwa haraha,ilimaanisha uharifu wa uhambazi ulipungua sana na uuzaji na unywaji wa gongo ulipungua sana, sasa hawa waharifu kwa aina zake wanaibip Selikari ,Wanaijaribu na kuipima Selikari hawajui kuwa Selikari haipimwi na kujaribiwa kwa matendo ya kiharifu Rais wangu na Waziri wa Ulinizi na Waziri wa mambo ya ndani niombe wapigieni hawa Wanyama wajutie matendo yao Agizeni vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama viwashughulikie usiku na mchana hata Nduli Iddy Amin Aliwahi kutubip Hayati Baba wa Taifa JK Nyerere alitoa tamko na dunia ilishudia sembuse hawa vifaranga
FaizaFoxy kwa hali ilivyo.. Unasemaje leo hii... Considering hali ya kibiti..Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni ugaidi (terrorism).
Lengo la ugaidi ni kuwatia watu hofu na kufikisha ujumbe kwa wengi kwa njia ya hofu.
Matukio yanayoongelewa sana kwenye vyombo vya habari na mitandao yote ya kijamii mpaka nchi za nje kwa sasa ni hayo, kuanzia watu kutekwa, kutolewa bastola hadharani, mauaji ya Kusini huko, watu kukutwa kwenye viroba, kupotea kwa watu na mengi mengineyo, yote yanaashiria ugaidi.
Magaidi hujitokeza na kusema sisi ndiyo tuliyoyafanya hayo ili waogopwe au matakwa yao yatimizwe au hukaa kimya na kuwachochea kivingine kwa lengo hilo hilo.
Matukio ya ugaidi yanapotokea pia hujitokeza wengine ambao hutumia fursa hiyo kufikisha ujumbe wao kwa njia tofauti.
Kwa yanayotokea Tanzania, ukweli ni kuwa, kuna wanaofanya huo ugaidi wa kutisha na kuna wanaotumia huo gaidi kama ni fursa kwao kufikisha ujumbe wao ama kwa kuongezea ugaidi mwingine au kwa kuendeleza hofu kwenye jamii na vyombo husika.
Watanzania tunachotakiwa kufanya ni kukaa kimya na kufunga hii mijadala yote na kuwacha kuripoti matukio yote ya kigaidi ili kushindana na ugaidi.
Gaidi kama matukio yake hayaongelewi kazi yake inakuwa haijafanikiwa.
Au leta mawazo yako ni njia gani zitumike kutatuwa hili tatizo "linalotukabili".
Kwa muono wangu, kila tunapoyaongea na kuyasambaza ndiyo furaha ya magaidi na ndiyo lengo lao, wengi wajawe na hofu.
Kwanini? Mie sijuwi.
FaizaFoxy kwa hali ilivyo.. Unasemaje leo hii... Considering hali ya kibiti..
Kimya kimya na huu utandawazi itawezekanaje? Watu sikuhizi hawasubiri major news outlets i.e. Tv, newspapers etc. Tatizo haijulikani wanataka niniNi ugaidi.
Wanatakiwa wasakwe wawe eliminated kimya kimya.
Ninachosema post namba moja, ugaidi ni kuwajaza watu hofu, ndiyo maana halisi ya neno "terror". "terrorist" ni mjaza hofu kwa kufanya matukio ya kutisha.
Na ili awajaze hofu ni hapo hayo matukio yanapotangazwa na kupewa publicity. Nasema matukio yao yasiandikwe. Watu wapige kimya na wawashughulikie kimya kimya.
Hii ni kweli it is balanced!! Wale waliomteka Ben Saanane ni magaidi!!Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni ugaidi (terrorism).
Lengo la ugaidi ni kuwatia watu hofu na kufikisha ujumbe kwa wengi kwa njia ya hofu.
Matukio yanayoongelewa sana kwenye vyombo vya habari na mitandao yote ya kijamii mpaka nchi za nje kwa sasa ni hayo, kuanzia watu kutekwa, kutolewa bastola hadharani, mauaji ya Kusini huko, watu kukutwa kwenye viroba, kupotea kwa watu na mengi mengineyo, yote yanaashiria ugaidi.
Magaidi hujitokeza na kusema sisi ndiyo tuliyoyafanya hayo ili waogopwe au matakwa yao yatimizwe au hukaa kimya na kuwachochea kivingine kwa lengo hilo hilo.
Matukio ya ugaidi yanapotokea pia hujitokeza wengine ambao hutumia fursa hiyo kufikisha ujumbe wao kwa njia tofauti.
Kwa yanayotokea Tanzania, ukweli ni kuwa, kuna wanaofanya huo ugaidi wa kutisha na kuna wanaotumia huo gaidi kama ni fursa kwao kufikisha ujumbe wao ama kwa kuongezea ugaidi mwingine au kwa kuendeleza hofu kwenye jamii na vyombo husika.
Watanzania tunachotakiwa kufanya ni kukaa kimya na kufunga hii mijadala yote na kuwacha kuripoti matukio yote ya kigaidi ili kushindana na ugaidi.
Gaidi kama matukio yake hayaongelewi kazi yake inakuwa haijafanikiwa.
Au leta mawazo yako ni njia gani zitumike kutatuwa hili tatizo "linalotukabili".
Kwa muono wangu, kila tunapoyaongea na kuyasambaza ndiyo furaha ya magaidi na ndiyo lengo lao, wengi wajawe na hofu.
Kwanini? Mie sijuwi.
Poleni wana pwani!Ni ugaidi.
Wanatakiwa wasakwe wawe eliminated kimya kimya.
Ninachosema post namba moja, ugaidi ni kuwajaza watu hofu, ndiyo maana halisi ya neno "terror". "terrorist" ni mjaza hofu kwa kufanya matukio ya kutisha.
Na ili awajaze hofu ni hapo hayo matukio yanapotangazwa na kupewa publicity. Nasema matukio yao yasiandikwe. Watu wapige kimya na wawashughulikie kimya kimya.
Nahisi pana ka fact hapa.Ni Malipizi Ya Madhambi Ma-fisiem Waliyofanya...!
No Stone Will Be Left Unturned Till The Game Is Over.
Ni Muono Wangu Tu.
Kweli kabisa!tuombee hali krudi salama maana jeshi huu haufai kabisa ni wakukemea kbsaNi msiba mzito na hofu kubwa iliyotujaa kutwa kucha.
Lakini tuna uhakika wahalifu watapatikana iwe hai au vinginevyo. Hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho.
Poleni kwa msiba. Faiza, leo kuna mshamba kapost huko fb kwa mbwembwe eti ndiye mtanzania wa tatu kutoka na MBA stanford. Hivi faiza, stanford ina ubora gani katika shule za biashara duniani?! Najua ulipita hapo.Ni msiba mzito na hofu kubwa iliyotujaa kutwa kucha.
Lakini tuna uhakika wahalifu watapatikana iwe hai au vinginevyo. Hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho.
[B]FaizaFoxy[/B], ni kweli msiba wowote ule ni mzito na hofu kubwa inatujaa matukio kama haya yanapotokea. Lakini kila nikikukumbuka kupotea kwa kijana Ben Saanane, napatwa na huzuni kubwa zaidi. Sina hakika juhudi kubwa kiasi gani zinafanyika kumtafuta lakini kama sote tutaamua kunyamaza, tutegemee nini siku za usoni? Kunyamaza hauna tofauti na kuweka silaha chini katika mapambano.Ni msiba mzito na hofu kubwa iliyotujaa kutwa kucha.
Naamini kuna wahalifu na wahalifu...wapo tunaowashuhudia wakifanya uhalifu lakini tunaamua kutazama kando. Sote tulishuhudia Clouds FM ikivamiwa (shukhrani kwa maendeleo ya teknolojia yaliyotuwezesha hata kuwatambua baadhi ya hao wahalifu), tulishuhudia kiongozi akitolewa bastola hadharani na wahalifu na tunao watu waliofanyiwa unyama na wahalifu lakini bahati yao wakaachiwa...[B]FaizaFoxy[/B], je kuna sababu yako wewe kukaaa kimya hayo yote yakitendeka? Hata hivyo nakubaliana na wewe, hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho!Lakini tuna uhakika wahalifu watapatikana iwe hai au vinginevyo. Hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho.
Poleni kwa msiba. Faiza, leo kuna mshamba kapost huko fb kwa mbwembwe eti ndiye mtanzania wa tatu kutoka na MBA stanford. Hivi faiza, stanford ina ubora gani katika shule za biashara duniani?! Najua ulipita hapo.