Ugaidi Tanzania Unafanikiwa

Ugaidi Tanzania Unafanikiwa

Mwalimu unakuja na subtopic, theni unataka wanafunzi waje na full topic well done ss, ilitakiwa uelezee kiunagaubaga ili ueleweke sasa hapa unakiri udhaifu wako. Si ungekuja na mada complete kuhusu huo ugaidi wa kugeuza mtizamo.

HAKIKA TUKIKAA KIMYA MAWE YATASEMA. Wacha watu tufungukeee [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Kwa lipi?
 
Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni ugaidi (terrorism).

Lengo la ugaidi ni kuwatia watu hofu na kufikisha ujumbe kwa wengi kwa njia ya hofu.

Matukio yanayoongelewa sana kwenye vyombo vya habari na mitandao yote ya kijamii mpaka nchi za nje kwa sasa ni hayo, kuanzia watu kutekwa, kutolewa bastola hadharani, mauaji ya Kusini huko, watu kukutwa kwenye viroba, kupotea kwa watu na mengi mengineyo, yote yanaashiria ugaidi.

Magaidi hujitokeza na kusema sisi ndiyo tuliyoyafanya hayo ili waogopwe au matakwa yao yatimizwe au hukaa kimya na kuwachochea kivingine kwa lengo hilo hilo.

Matukio ya ugaidi yanapotokea pia hujitokeza wengine ambao hutumia fursa hiyo kufikisha ujumbe wao kwa njia tofauti.

Kwa yanayotokea Tanzania, ukweli ni kuwa, kuna wanaofanya huo ugaidi wa kutisha na kuna wanaotumia huo gaidi kama ni fursa kwao kufikisha ujumbe wao ama kwa kuongezea ugaidi mwingine au kwa kuendeleza hofu kwenye jamii na vyombo husika.

Watanzania tunachotakiwa kufanya ni kukaa kimya na kufunga hii mijadala yote na kuwacha kuripoti matukio yote ya kigaidi ili kushindana na ugaidi.

Gaidi kama matukio yake hayaongelewi kazi yake inakuwa haijafanikiwa.
Au leta mawazo yako ni njia gani zitumike kutatuwa hili tatizo "linalotukabili".

Kwa muono wangu, kila tunapoyaongea na kuyasambaza ndiyo furaha ya magaidi na ndiyo lengo lao, wengi wajawe na hofu.

Kwanini? Mie sijuwi.

Ni wazo zuri lakini hawa makamanda wetu wanapo ongea na vyombo vya habari waache neno hili 'TUKIO HILI NI LA KAWAIDA'
 
Ndg Watanzia Mimi niseme na Selikali kwa mda huu mfupi nilioupata ,Mh Rais na Wizara ya ulinzi na ya Mambo ya ndani Niombe Mdhamilie na mtoe tamko la Yamekwisha haya matukio yote ya kinyama ya nayofanywa na wasio tutakia ustawi wa Amani yetu tuliodumu nayo tangu kuwepo kwa Taifa letu ,Tunaamini uwezo mno na nia mnayo pia sababu mnoyo ya kusema basi imetosha,Nakumbuka Bw Mrema aliwahi kutoa matamko alipokuwa waziri wa mambo ya ndani ,Silaha zilisalimishwa na Vifaa vya kuandalia pombe haramu ya gongo vilisalimishwa kwa haraha,ilimaanisha uharifu wa uhambazi ulipungua sana na uuzaji na unywaji wa gongo ulipungua sana, sasa hawa waharifu kwa aina zake wanaibip Selikari ,Wanaijaribu na kuipima Selikari hawajui kuwa Selikari haipimwi na kujaribiwa kwa matendo ya kiharifu Rais wangu na Waziri wa Ulinizi na Waziri wa mambo ya ndani niombe wapigieni hawa Wanyama wajutie matendo yao Agizeni vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama viwashughulikie usiku na mchana hata Nduli Iddy Amin Aliwahi kutubip Hayati Baba wa Taifa JK Nyerere alitoa tamko na dunia ilishudia sembuse hawa vifaranga
 
Tatizo ni viongozi wa Serikali hawataki kujadili swala la amani/hofu Mfano hoja hii ya kuhusu hofu lilizimwa Bungeni. Wa bunge wana wakilisha wananchi
 
Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni ugaidi (terrorism).

Lengo la ugaidi ni kuwatia watu hofu na kufikisha ujumbe kwa wengi kwa njia ya hofu.

Matukio yanayoongelewa sana kwenye vyombo vya habari na mitandao yote ya kijamii mpaka nchi za nje kwa sasa ni hayo, kuanzia watu kutekwa, kutolewa bastola hadharani, mauaji ya Kusini huko, watu kukutwa kwenye viroba, kupotea kwa watu na mengi mengineyo, yote yanaashiria ugaidi.

Magaidi hujitokeza na kusema sisi ndiyo tuliyoyafanya hayo ili waogopwe au matakwa yao yatimizwe au hukaa kimya na kuwachochea kivingine kwa lengo hilo hilo.

Matukio ya ugaidi yanapotokea pia hujitokeza wengine ambao hutumia fursa hiyo kufikisha ujumbe wao kwa njia tofauti.

Kwa yanayotokea Tanzania, ukweli ni kuwa, kuna wanaofanya huo ugaidi wa kutisha na kuna wanaotumia huo gaidi kama ni fursa kwao kufikisha ujumbe wao ama kwa kuongezea ugaidi mwingine au kwa kuendeleza hofu kwenye jamii na vyombo husika.

Watanzania tunachotakiwa kufanya ni kukaa kimya na kufunga hii mijadala yote na kuwacha kuripoti matukio yote ya kigaidi ili kushindana na ugaidi.

Gaidi kama matukio yake hayaongelewi kazi yake inakuwa haijafanikiwa.

Au leta mawazo yako ni njia gani zitumike kutatuwa hili tatizo "linalotukabili".

Kwa muono wangu, kila tunapoyaongea na kuyasambaza ndiyo furaha ya magaidi na ndiyo lengo lao, wengi wajawe na hofu.

Kwanini? Mie sijuwi.
FaizaFoxy kwa hali ilivyo.. Unasemaje leo hii... Considering hali ya kibiti..
 
Ni ugaidi.

Wanatakiwa wasakwe wawe eliminated kimya kimya.

Ninachosema post namba moja, ugaidi ni kuwajaza watu hofu, ndiyo maana halisi ya neno "terror". "terrorist" ni mjaza hofu kwa kufanya matukio ya kutisha.

Na ili awajaze hofu ni hapo hayo matukio yanapotangazwa na kupewa publicity. Nasema matukio yao yasiandikwe. Watu wapige kimya na wawashughulikie kimya kimya.
 
Kimya kimya na huu utandawazi itawezekanaje? Watu sikuhizi hawasubiri major news outlets i.e. Tv, newspapers etc. Tatizo haijulikani wanataka nini
 
Ni Malipizi Ya Madhambi Ma-fisiem Waliyofanya...!

No Stone Will Be Left Unturned Till The Game Is Over.

Ni Muono Wangu Tu.
 
Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni ugaidi (terrorism).

Lengo la ugaidi ni kuwatia watu hofu na kufikisha ujumbe kwa wengi kwa njia ya hofu.

Matukio yanayoongelewa sana kwenye vyombo vya habari na mitandao yote ya kijamii mpaka nchi za nje kwa sasa ni hayo, kuanzia watu kutekwa, kutolewa bastola hadharani, mauaji ya Kusini huko, watu kukutwa kwenye viroba, kupotea kwa watu na mengi mengineyo, yote yanaashiria ugaidi.

Magaidi hujitokeza na kusema sisi ndiyo tuliyoyafanya hayo ili waogopwe au matakwa yao yatimizwe au hukaa kimya na kuwachochea kivingine kwa lengo hilo hilo.

Matukio ya ugaidi yanapotokea pia hujitokeza wengine ambao hutumia fursa hiyo kufikisha ujumbe wao kwa njia tofauti.

Kwa yanayotokea Tanzania, ukweli ni kuwa, kuna wanaofanya huo ugaidi wa kutisha na kuna wanaotumia huo gaidi kama ni fursa kwao kufikisha ujumbe wao ama kwa kuongezea ugaidi mwingine au kwa kuendeleza hofu kwenye jamii na vyombo husika.

Watanzania tunachotakiwa kufanya ni kukaa kimya na kufunga hii mijadala yote na kuwacha kuripoti matukio yote ya kigaidi ili kushindana na ugaidi.

Gaidi kama matukio yake hayaongelewi kazi yake inakuwa haijafanikiwa.

Au leta mawazo yako ni njia gani zitumike kutatuwa hili tatizo "linalotukabili".

Kwa muono wangu, kila tunapoyaongea na kuyasambaza ndiyo furaha ya magaidi na ndiyo lengo lao, wengi wajawe na hofu.

Kwanini? Mie sijuwi.
Hii ni kweli it is balanced!! Wale waliomteka Ben Saanane ni magaidi!!
Yule aliyemtolea Nape bastola ni gaidi
Watekaji wa wasanii ni magaidi!!
At least tunafahamu magaidi ni akina nani!! Lengo la kuogopesha ni lengo kuu!! Siro sasa unafahamu magaidi ni kina nani
 
Ni ugaidi.

Wanatakiwa wasakwe wawe eliminated kimya kimya.

Ninachosema post namba moja, ugaidi ni kuwajaza watu hofu, ndiyo maana halisi ya neno "terror". "terrorist" ni mjaza hofu kwa kufanya matukio ya kutisha.

Na ili awajaze hofu ni hapo hayo matukio yanapotangazwa na kupewa publicity. Nasema matukio yao yasiandikwe. Watu wapige kimya na wawashughulikie kimya kimya.
Poleni wana pwani!

Ova
 
Poleni wana pwani!

Ova

Ni msiba mzito na hofu kubwa iliyotujaa kutwa kucha.

Lakini tuna uhakika wahalifu watapatikana iwe hai au vinginevyo. Hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho.
 
Kweli kabisa!tuombee hali krudi salama maana jeshi huu haufai kabisa ni wakukemea kbsa

OvA
 
Screenshot_2017-06-21-19-50-11.png
 
Everythng is under control.... muuaji anapofiwa ulia machozi halisi pia....

Anayeua humjui... unushindwa nin kumhisi aliyeuwawa kuwa ni muuaji.....

Pwani kuna siri nzito ila ishakua sorted what we ar seeing ni msafisho nahisi....
 
Walau siku hizi kitengo cha propaganda polisi hakipo hai,ukanushaji wa taarifa sio sana,kama ipo inaripotiwa kadiri ilivyo,ingekuwa kipindi flani aaaa polish wameshakataa kuwa hao sio askari bali ni wao magaidi ili wajipe promo kuwa wameua askari. Hongereni geshi kwa hili,zidisheni ushirikiano na raia katika kupinga vita matukio yasiyo faa.
 
Ni msiba mzito na hofu kubwa iliyotujaa kutwa kucha.

Lakini tuna uhakika wahalifu watapatikana iwe hai au vinginevyo. Hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho.
Poleni kwa msiba. Faiza, leo kuna mshamba kapost huko fb kwa mbwembwe eti ndiye mtanzania wa tatu kutoka na MBA stanford. Hivi faiza, stanford ina ubora gani katika shule za biashara duniani?! Najua ulipita hapo.
 
[B]FaizaFoxy[/B], ni kweli msiba wowote ule ni mzito na hofu kubwa inatujaa matukio kama haya yanapotokea. Lakini kila nikikukumbuka kupotea kwa kijana Ben Saanane, napatwa na huzuni kubwa zaidi. Sina hakika juhudi kubwa kiasi gani zinafanyika kumtafuta lakini kama sote tutaamua kunyamaza, tutegemee nini siku za usoni? Kunyamaza hauna tofauti na kuweka silaha chini katika mapambano.

10873.jpg

Lakini tuna uhakika wahalifu watapatikana iwe hai au vinginevyo. Hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho.
Naamini kuna wahalifu na wahalifu...wapo tunaowashuhudia wakifanya uhalifu lakini tunaamua kutazama kando. Sote tulishuhudia Clouds FM ikivamiwa (shukhrani kwa maendeleo ya teknolojia yaliyotuwezesha hata kuwatambua baadhi ya hao wahalifu), tulishuhudia kiongozi akitolewa bastola hadharani na wahalifu na tunao watu waliofanyiwa unyama na wahalifu lakini bahati yao wakaachiwa...[B]FaizaFoxy[/B], je kuna sababu yako wewe kukaaa kimya hayo yote yakitendeka? Hata hivyo nakubaliana na wewe, hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho!
 
Poleni kwa msiba. Faiza, leo kuna mshamba kapost huko fb kwa mbwembwe eti ndiye mtanzania wa tatu kutoka na MBA stanford. Hivi faiza, stanford ina ubora gani katika shule za biashara duniani?! Najua ulipita hapo.

Stanford ni chuo kimojawapo maarufu sana duniani. Ni prestige kusoma hapo, simlaumu huyo Mtanzania, hata mimi ningejisifia kusoma hapo.
 
Back
Top Bottom