Ugali unaopikwa kwa Unga wa mahindi (dona) hatari kwa afya ya binadamu

Mkuu Hii Habari nina wasiwasi kuwa sio habari ya Ukweli soma hapa chini Habari kamili.
VYAKULA NA MAGONJWA; Faida na hasara ya unga wa mahindi wa kukoboa

Kwa ufupi
  • Kwa sababu, hawataweza kula chakula cha kutosha na kupata virutubisho hasa wanga kwa kiasi kinachohitajika na mwili. Kinachotakiwa ni kuwaelimisha njia mbadala ya kuziba pengo la virutubisho linaloweza kupatikana na matumizi ya unga uliokobolewa.
  • Chanzo.VYAKULA NA MAGONJWA; Faida na hasara ya unga wa mahindi wa
 
Acheni hizo nimeula nanitazidi kuula
Sumu inatoka wapi wakati kabla ya kusonga unapika uji tena unaauacha unachemka kwa dk 15
Hivi ukichukua sumu ya panya ukaichanganya wakati unaupika huo ugali inaweza kuondoka?
 
Your post is too general. Aflatoxin inatokana na fungal infestation na hii inatokana na storage condition more specifically humidity level. Besides, even if it is true, there must be a threshhold for anything to be dangerous. Is this threshhold reached? Can you show us facts and figures from research you carried out on flour? Stop being alarmist.
 
watu wa food science mnatuchanganya walqji bana kila kitu sumu sasa tule nn ? noah!?
 
Follow up contributions herein with reference to current studies, then you would respond accordingly. Welcome
 
Toa ushauri sasa tule nini,mawe au miti?
Miti inafaa sababu itakuwa digested na itatoka huko tumboni kwa njia ya kinyesi mawe mzee hutanyanyuka. Hujaona fisi anavyotegwa na kokoto baada ya kuzipaka damu na kuchania huko magunia? Noma eh!
 
Sasa tule nn jamani?!
Watu kuendelea kubisha siyo suluhu ya hili tatizo, kubadilika kwa halihewa ya dunia kunakosababisha ukame uliokithiri, mvua zisizo za msimu na mafuriko kunaweza kupelekea kuongezeka kwa uzalishaji wa aflatoxins katika nafaka. Cha msingi ni kuchukua taadhari zinazotakiwa. Nchi nyingi zinazoendelea watu wengi hutumia aina chache za vyakula vya nafaka, hasa mahindi kama chakula kikuu (staple food). Na hizi nafaka ndo huathiriwa zaidi na hii sumu, hivyo kubadili mtindo wetu wa ulaji kwa kula vyakula aina mbalimbali inaweza kusaidia pia kuliko kula dona tu mwanzo hadi mwisho wa mwaka. Kwa wale wanahusika na utayarishaji wa hizi nafaka, ni vyema kuchambua na kutupa punje zilizooza, kusinyaa au kubadilika rangi, ikiwa ni pamoja na kuosha na hata kukoboa kabla ya kutengeneza unga kwa ajili ya matumizi ya chakula
 
To my knowledge nilikuwa najua aflatoxin mostly ni karanga tu

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
To my knowledge nilikuwa najua aflatoxin mostly ni karanga tu

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Karanga pamoja na mahindi ndo huathiriwa zaidi na uzalishwaji wa aflatoxins mkuu
 
Unazungumzia sumu ipi ile munayo pulizia kwenye mimea au?
 
Ni kwa mahindi yanayowekwa dawa ya kuzuia mahindi yasiliwe na wadudu. Na ndiyo sababu wengi huyaosha au kubalaza kabla ya kuyasaga.

Yale yanayohifadhiwa bila dawa, hayana madhara.
 
Ni kwa mahindi yanayowekwa dawa ya kuzuia mahindi yasiliwe na wadudu. Na ndiyo sababu wengi huyaosha au kubalaza kabla ya kuyasaga.

Yale yanayohifadhiwa bila dawa, hayana madhara.
Mkuu umesema vyema!
 
Mkuu umenifurahisha Sana ha ha ha ha
 
Hebu fafanua vizuri nini husababisha sumu hiyo kuingia kwe hindi kuliko kutishia watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…