Uganda imekubali kuwapa raia wa Afghanistani hifadhi ya ukimbizi

Kama pana wanawake wazuri, najitolea kuwasaidia idadi wasizidi watatu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kila kitu unashindanisha?
 
Ndio maana watu wansemaga Museven ni dikteta ila huwezi kukuta USA ikimkoromea! Itamkoromeaje kwa namna hii?
 
Nashauri mama Samia atume ndege zetu akachukue wanawake na watoto tuwamegee sehemu kule kwetu kilolo kuna maardhi yapo tu hayana mtu wa kukaa na pia tutajipatia pisi kali za kiarabu
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waafrika sijui nani katuroga....hii ni mikakati tu ya kuja kuanzisha vita Afrika mashariki kutumia kibaraka wao..hapo target kubwa ni congo na madini..we unashangaa hii miaka mi5 kumekua na stori nyingi sana za ugaidi usioeleweka umeanzia wapi unaishia wapi...hawa wanatafuta njia kuja weka kambi huku tu..... DR Congo accepts US military help against ADF militia nachukia sana mabeberu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
So wa Marekani wanataka jamaa wakajifunze kuogabna kuvaa Uganda kabla hawajapelekwa kwao?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ili waache kuvaa suruali za kulalia bila boxa na shot kanzu
 
Naomba nisaidie kuna kitu kinanitatiza. Taliban wamechukua nchi ila tofauti na vikundi vingine vya ukombozi vinapopigania ukombozi huwa wanaungwa mkono na wananchi ila Taliban ni tofauti nini tatizo?
Kwa mujibu wa memba mmoja, jamii zilizokuwepo nchini huwa zinaonewa sana na hawa wataleban
 
Mrangi mkuu unajua kuna siku ntakutafuta huko na exposure sana. Uligusiaga kidogo biashara yako ya real estate Canada kwenye comment flani hivi. Nikasema huyu si mwenzetu. Ila unakausha hujioneshioneshi.
Huu jamaa inaonyesha mpambanaji sana
 
Si wamejilipua wacha wapewe vipande walime matoke😂😂
 
Kambi zote za wakimbizi zilizoko mkoa wa Kigoma zisifungwe sasa. Hao waafghan kwa wingi wao wapelekwe huko kwenye makambi..... Fursa hiyo kwa Tanzania na EAC kwa ujumla... Mulamula.
Makambi ya Kogoma mengine yamekuwa shule, mfano Lugufu girls high school na Lugufu boys high school mkuu, majengo mengine yanakaliwa na viongozi wa ccm, mfano Lugufu karibu na makao makuu ya Wilaya Uvinza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…