Uganda imekubali kuwapa raia wa Afghanistani hifadhi ya ukimbizi

Basi uganda wako na bahati sana kanda yetu, maana hata israel ya leo kama wasingekataa ungekuta wako uganda kwa sasa.
Hata matukio mengi yamewahi kutokea uwanja wa ndege wa entebe, na hata la sasa litawainua mno!

Ajabu kwangu hao waasi hawaoni aibu kukombiwa na wananchi wao?

Lakini pia ni jinsi gani africa isivyo na thamani mbele ya wenzetu, tunafanywa kama jalala!
 
Raia wa hizo nchi ni watu peace sana...nilisoma chuo kimoja na muAfghan mmoja miaka ya nyuma, alikuwa anasomea udaktari wa wanadamu ili akirudi kwao akasaidie jamii za huko...vita ni kitu kibaya sana

Mataifa yaungane kuwapa hifadhi hao jamaa...
 
Baloch wanajua sana biashara

Ova
 
Naomba nisaidie kuna kitu kinanitatiza. Taliban wamechukua nchi ila tofauti na vikundi vingine vya ukombozi vinapopigania ukombozi huwa wanaungwa mkono na wananchi ila Taliban ni tofauti nini tatizo?
 
Mrangi mkuu unajua kuna siku ntakutafuta huko na exposure sana. Uligusiaga kidogo biashara yako ya real estate Canada kwenye comment flani hivi. Nikasema huyu si mwenzetu. Ila unakausha hujioneshioneshi.
 
mimi nashindwa kuelewa kwann hawa waikimbie nchi yao wakati asilimia kubwa ya raia hawajaikimbia nchi yao
Wataleban hawana utani kwenye Sharia Ukizini unapigwa mawe hadi unakufa na ukiiba wanakata mkono. Wanawake wote hakuna kufanya kazi za kuajiriwa wote ni mama wa nyumbani kazi yao moja tu na inajulikana.
 

Kampala. Uganda is set to temporarily host 2,000 refugees from Afghanistan following the political unrest in the country.
State minister for Relief, Disaster Preparedness and Refugees, Ms Esther Anyakun said on Tuesday that this follows a request by US government, which was granted by President Museveni.
"We expect to host them temporarily before they can be relocated by US government. It was request from US government to His Excellency. We started the preparation yesterday," Ms Anyakun said today.

 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…