Hao wanatofautiana itikadi na wa Taleban yani kama ilivyo waislamu wa “Sunni” na “Shia” so moto lazma uwake na wa Taleban wabababe kichizimimi nashindwa kuelewa kwann hawa waikimbie nchi yao wakati asilimia kubwa ya raia hawajaikimbia nchi yao
ina maana US imeshindwa kuwalipa wanajeshi wa Afghan?Naamini hapa kuna kitu kilikuwa kinaendelea. Maana jana Biden amefanya presa conference na alisema kwamba Marekani ilitoa mafunzo yote ya kijeshi kwa wanajeshi wa jeshi la Afghanistan ikiwepo hadi jeshi la anga. Tafsiri yake ni kuwa serikiali na jeshi walikuwa wana silaha nzito na za kisasa ukilinganisha na Taliban.
Akasema Marekani haiwezi kuendelea kupigana vita ya kufa na kupona ilhali wanajeshi wa nchi husika hawako tayari kupigania nchi yao.
Ila pia inasemekanika kuwa pamekuwa na rushwa sana ndani ya serikali na kupelekea polisi na wanajeshi kutolipwa stahiki zao kwa muda mrefu. Hii imepelekea hawa watu kuona hamna faida ya kundelea kujiweka rehani maisha yao ilhali hamna wanachopata.
Pia Idd Amin aliwahi teka ndege ya IsraelUganda wanapaoneaaa...
Ma Zionist(Wana israeli) mwaka 1903 walipokosa nchi ya kujihifadhi Walikabidhiwa Uganda(eneo la kenya ya leo) na Muingereza kabla ya kukataa kusema sisi tunatokea Palestina
Leo hii wa Afrighanistan Wamepelekwa huko huko....
Mimi niliona picha ya trafiki mtalabani nikapata hamasa ya kwenda kutalii. Kumbe utalii umesogea hapa hapa kwetu?? Ile jamii ile....Shekhe Ponda aende haraka kuwasaidia wale jamaa wajitambue 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]baada ya kusikia i habari nili jikuta tu nacheka kama mazuri
Ni muhimu sana nyie pambaneni na Tozo sie wacha tukale kuku wa UNHCR hapo wakati tukisubiria pipa la kwenda USA
😂😂😂😂😂😂 kumbe kigoma kunaingilikaWe huko utaonekana tuu umejiingiza muhimu nenda kigoma Kuna kambi huko za watu ambao huchukuliwa kila muda kwenda USA Kuna watu wawili waliendaga huko mpaka Sasa sijawaona bongo na Ni muda huenda Mambo yalitik
Lile jibu alilowapa Biden kuhusu kupeleka wanajeshi ilitosha kabisa kujua hawa wamerekani ni waswahili,kwa nini waarab wa Taliban hawakujiongeza?😂Yaani wamewabeba wale raia Afghanistan kwa mbwembwe utafkiri wanawapeleka Marekani au Canada mwisho wa siku kwa kuwakomoa wamewamwaga Entebbe na Museveni kakubali kuwapokea aise nahisi hao raia wanatamani hata wangepelekwa Jalalabad Pakistan au warudi Kandahar yaani wanajuta kudandia pipa.
Wamefanana sana na kina Yuda, Petro au hawa ndiyo mafarisayo?Sura pana za kibabeView attachment 1895837
Ngoja niibukie Uganda nikachague pisi Kali ya kiarabu
Mmarekani fala sana......ila ana akili
Waletwe huku Mtwara madeiwaka yamejaa,watapalilia mikorosho na kuvuna piaYaani wamewabeba wale raia Afghanistan kwa mbwembwe utafkiri wanawapeleka Marekani au Canada mwisho wa siku kwa kuwakomoa wamewamwaga Entebbe na Museveni kakubali kuwapokea aise nahisi hao raia wanatamani hata wangepelekwa Jalalabad Pakistan au warudi Kandahar yaani wanajuta kudandia pipa.
Hai sehemu gani? Wako wengi? Unaposema ''mji umekua balaa'' una maana gani?Hapa wilaya ya Hai kuna wasomali walimwaga miaka mingi hiyo Hadi Leo kunaitwa kwa wasomali wamechanganyika na wamaasi na ndio mji umekua balaa uwezi amini
hivi tofauti ya waarabu na waajemi NiUnaishi dunia ya wapi? Nani kakuambia afghan ni waarabu?
mtwara sehemu gani nije nipige deiwaka aisee[emoji2]Waletwe huku Mtwara madeiwaka yamejaa,watapalilia mikorosho na kuvuna pia
wangewaleta Zanzibar au unasemaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe kigoma kunaingilika
Haina maana kwamba USA ndio walikuwa responsible kwa ajili ya kulipa wanajeshi wa Afganstan. Wale walikuwa ni waajiriwa na serikali/nchi ndiyo yenye jukumu la kufanya hivyo.ina maana US imeshindwa kuwalipa wanajeshi wa Afghan?
Hivi ninyi mnajua wanachokikimbia kule lakini? Hujasikia kwamba wanadandia ndege iwashushe popote pale nje ya ile nchi? Jamani iweni na utu. Mungu anawapenda. Yamewakuta hawakuomba. Kule hakuna uhai. Anga liko chini ya shetani. Hawatafuti utaliii wale.Yaani wamewabeba wale raia Afghanistan kwa mbwembwe utafkiri wanawapeleka Marekani au Canada mwisho wa siku kwa kuwakomoa wamewamwaga Entebbe na Museveni kakubali kuwapokea aise nahisi hao raia wanatamani hata wangepelekwa Jalalabad Pakistan au warudi Kandahar yaani wanajuta kudandia pipa.
Lazima wafanyiwe assessment unaweza Kuta Taliban ndio walidandia ndege Ili waje kufanya ugaidi Us ,vetting lazimaMarekani wamemwomba raisi Museven awahifadhi kwa muda kabla hawajapelekwa Marekani.
Wapo 2000 na wote inabidi wapimwe COVID-19 wawe documented maana wengine waliingia tu kwenye ndege.
Hivyo wapo kwenye Transit Uganda itapiga mpunga wa kutosha hapo.
Ni shughuli ya miezi mitatu na nchi zingine zitaleta watu hao hapo Uganda.
Marekani itagharamia kila kitu.
Vijana wengi watanzania walijitolea kuwa wakimbizi ndani ya nchi yao na kwenda kigoma kwenye kambi miaka mwishon 1990 na mwanzon 2000 sema uvumilivu unahitajika minimum n 2years ukiwa na bahati Sana 6months sijui sikuhz kumekaaje😂😂😂😂😂😂 kumbe kigoma kunaingilika