Teh,Vile viwanda vya ”mtukufu mfu ” vinaitwaje tugoogle tukaombe kazi.Hili Taifa linageuzwa soko badala la kiwanda.
Kila anakoenda Mama badala ya kuwela wawekezaji yeye analeta wachuuzi.
Hata JPM alikua na uzalendo na maono kama yako, ila baada ta miaka 6 aliharibu kila kitu Biashara ilawa ngumu sukali ikapanda bei mafuta ya kula seruji nk. Hizo analysis za geographical coverage ya Tanzania sio zinapotosha.Kwa ukubwa wa ardhi ya Tanzania (Tanganyika) Kenya+Uganda+Rwanda+Burundi bado kupa ardhi inabakia....
Habari wadau!
Sasa kilio cha upungufu wa sukari kitapungua maana mama amefungua milango na kuumuru sukari iingie nchini...
Ni kweli huku kwetu kuna zengweWao walikuwa hawapingi ni sisi wenyewe tu tulikuwa tukifanyiana roho mbaya kuzuiana. Sijawahi sikia tamko la Uganda kuzuia kahawa kuuzwa Uganda. Labda nimesahau.
Hakuna kiwanda cha chai kilichojengwa tukawa tuna expert chaiHata JPM alikua na uzalendo na maono kama yako, ila baada ta miaka 6 aliharibu kila kitu Biashara ilawa ngumu sukali ikapanda bei mafuta ya kula seruji nk. Hizo analysis za geographical coverage ya Tz sio zinapotosha.
Nchi wanabana wanajua watu wengi watakuwa mabilionea.Acha kabisa wakifungua huo mpaka kwenye kahawa narudi kwenye game maana tulikua tunanunua Burundi 1500 kwa kilo moja Uganda unaenda kupiga 4000 chapchap cash na bila maelezo sasa roadblocks upande wa Bongo ikawa mchawi, tukaanza kupita majini nako wakaingia Bongo ukichek gap ya kilo moja 2500 ni pesa nyingi mno
Binaadmu wagumu Sana ndugu yangu.Sasa kama uzalishaji wa ndani haukidhi mahitaji tutafanyaje? Tuendelee kunywa chai bila sukari?
Na sasa hela hiyo ya wastaafu ndivyo hivyo tena...isha yoyoma na kiwanda wala miwa haitaonekana!Pesa za wastaafu yule shujaa alizochukua kwenye mifuko ya wastaafu na kwenda kujengea kiwanda cha sukari/mashamba ya miwa kinazalisha tani ngapi kwa mwaka?
Wasiwasi ni kwamba wafanyabiashara janja janja nyingi, naweza agiza sukari brazil, nikaja kuchanganya na kidogo ninayozalisha Uganda, nitakuuzia kwa jina la sukari ya uganda, hichi tu wala sio kingine mkuu wangu, anaenufaika zaidi ni mfanyabiashara wa uganda, sina wasiwasi mwingine.Wewe unataka ipigie kona wapi, kabla ya kufika Tanzania? Hiyo ambayo inaagizwa Brazil na kuja Tanzania, mbona hupigii kelele?
Mbona walikwa wanaruhusu lakini mamlaka za kwetu zikawa zinakamata hiyo kahawa kwa kisingizio kuwa zinauzwa kimagendo? au umesahau kuwa wanaoruhusiwa kununua mazao ni AMCOS pekeeWawaruhusu na nyie muuze kahawa huko Uganda
Ova