Uganda: Rais Museveni amshukuru Rais Samia kwa kumruhusu kuuza sukari Tanzania

Ni vile tu Magufuli alitawala watu wenye ulemavu wa akili!

Lakini alipopiga ban sukari kutoka nje ilitakiwa watu tuchangamkie fursa za kujenga viwanda vya sukari kila kona na kulima miwa ya kutosha!

Sisi watz ni mazuzu sana
 
...sasa mnalalamika nini, sukari inayozalishwa nchini haitoshi nchi yetu ina uhitaji mkubwa wa sukari, kwahiyo mnaona bora tuendelee kuagiza ile ya brazil tuache kununua ya jirani!!?

Sio sukari tu, hata mafuta ya kupikia nayo yanayozalishwa hayatoshi ukilinganisha na demand tuliyonayo. Hebu tulieni basi sio kila kitu mlalamike[emoji16]
 
Sioni sababu ya kuzuia sukari ya Uganda isiuzwe Tanzania. Tunachopaswa kufanya ni sisi watanzania kuchangamkia soko la Uganda
 
Bimkubwa anagawa mambo tu sasa hivi washikaj dy/dx
 
Anza wewe kuzalisha Acha makele ya kijinga
 
Wewe unaexport bidhaa gani Uganda?

Kiwanda cha mukwano kinanunua mawese kutoka Tanzania, vitunguu huuzwa uganda, asali ya sikonge soko ni uganda, muhogo wa kula almaarufu udaga wa mtwara naliendere na muhogo wote wa kigoma, geita huuzwa Uganda, vitu vingi huuzwa Uganda kutoka Tanzania
 
Wao walikuwa hawapingi ni sisi wenyewe tu tulikuwa tukifanyiana roho mbaya kuzuiana. Sijawahi sikia tamko la Uganda kuzuia kahawa kuuzwa Uganda. Labda nimesahau.
Aliyekuwa aliyekuwa akifanya roho mbaya huku kwetu ni nani ?
 
Sasa tubaki kusubiria long term plan yako huku tunaumia? Shenzi kabisa.Zalisha anza kulia soko usaidiwe sio kupayuka kama chiliku
 
Huyu mama ni mkurupukaji sana, sijui hana washauri au hao washauri ndo wanamuingiza chaka, mweeeeeh

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Tuambie tuna viwanda vingapi vya sukari?, na vinamiliki hekari ngapi za Ardhi, sasa tuambie kwanini sukari haitoshi na kwa nini sukari kwetu tsh 3,000 na Uganda ni Kama 1,500.na kwanini kwetu imekuwa ni Kama anasa .tunataka uwekezaji ulete unafuu wa maisha kwa watanzania Kwanzaa..
 
Uingizaji hautakuwa wa hovyo wewe ,itakuwa ni quorta
 
Nchi wanabana wanajua watu wengi watakuwa mabilionea.

Nchi hii kuna watu wanataka pekee yao.

Ndiyo wawe na mabilion,pekee yao ndiyo.

Wafanye biashara export,import

Ova

Acha mkuu mambo ya biashara ya mpakani ukiangalia yanavoweza kuingiza pesa ya kigeni maana kuna exchange za maana acha kabisa lakini vikwazo vikwazo hata ambavyo havieleweki
 
Wapumbavu waliosalia baada ya march
 
Mahitaji gani ya soko bei ziko juu kiasi hiki? Sukari Tulikuwa tunanunua 1800-2200 hii ya zaidi ya 3,000 ndio bei ya mahitaji ya soko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…