Ugonjwa mikoa ya Kusini: Watatu wafariki, Wawili wapona na Watano wamejitenga katika makazi yao

Dokta Uchwara
Mathanzua 2.0
Wacha weee! Mwanasayansi huyo!

ACTUALLY: Hakuna ugonjwa wa monkeypox wala donkeypox.

Hapo ninachoona kuna MONEY-POX, BILLGATE-POX pamoja na IBILISI-POX.

Hiyo inayoitwa "monkeypox" ni madhara ya machanjo ya corona ambayo wameyaficha kwa kutumia jina la MONKEYPOX.
 
Sukuma Gag mpaka mpate ugonjwa wa sosona/msongo wa mawazo(Depression).
 
Wizara ya Afya imesema kufikia Julai 12, 2022 kulikuwa na Wagonjwa 13, na 3 kati yao wamefariki dunia

Wenye dalili za Homa, Kuvuja Damu puani kuumwa kichwa na mwili kuchoka wanaendelea kutafutwa

Sampuli za awali zilizopimwa katika maabara ya Taifa zimeonesha majibu hasi (negative) kwa ugonjwa wa Ebola, Marburg na UVIKO-19

View attachment 2288801
View attachment 2288802
Picha ? Sijaona mgonjwa anahojiwa na hata ndgu wa mgonjwa anazungumza juu ya mgonjwa sana sana ni takwimu zinatolewa tu na viongozi. Ngoja tusubiri tuone ilaa...
 
Magonjwa mengine yanasababishwa na sisi wenyewe, Mungu ameumba ardhi na mbingu, miti na wanyama, lakini kiburi alichonachona binadamu especially huu ukanda wa afrika hususani Tanzania tunakata sana miti. Mkoa nilipo mimi wanakata sana miti jamani, imewakosea nini hii miti!!! Baadhi ya maeneo kulikua na mapori makubwa wanyama waliishi mule, leo hii hakuna wanyama tena kwakua washafyeka mapori.

Niseme tu, Waafrika ni adui wakubwa wa miti, japo sio wote!
Ingekuwa hvyo bas ugonjwa ungeanzia maeneo ambayo hawana kabsa miti (jangwani) ama wao wame evolve hio hali haiwezikani wadhuru?
 
Wacha weee! Mwanasayansi huyo!

ACTUALLY: Hakuna ugonjwa wa monkeypox wala donkeypox.

Hapo ninachoona kuna MONEY-POX, BILLGATE-POX pamoja na IBILISI-POX.

Hiyo inayoitwa "monkeypox" ni madhara ya machanjo ya corona ambayo wameyaficha kwa kutumia jina la MONKEYPOX.
Monkeypox ilikuwepo kabla ya chanjo ya corona sasa. Case ya kwanza ilirekodiwa 1970.

Alafu elewa kuwa hapo mm nilikuwa sitetei chanjo bali nilikuwa najaribu kutofautisha huu ugonjwa na monkeypox
 
Magonjwa mengine yanasababishwa na sisi wenyewe, Mungu ameumba ardhi na mbingu, miti na wanyama, lakini kiburi alichonachona binadamu especially huu ukanda wa afrika hususani Tanzania tunakata sana miti. Mkoa nilipo mimi wanakata sana miti jamani, imewakosea nini hii miti!!! Baadhi ya maeneo kulikua na mapori makubwa wanyama waliishi mule, leo hii hakuna wanyama tena kwakua washafyeka mapori.

Niseme tu, Waafrika ni adui wakubwa wa miti, japo sio wote!
Kujenga Stiglers Gorge wamekata mikoko kama milioni mbili.
 
kwanza tulianza na kutonyesha mvua tukaomba zikanyesha.

Sasa yanakuja magonjwa ya ajabu.

Tuombe yaishe.

Ila yatakuja mengine pia.

Hapa hatukwepi kukiri kwamba ni mapigo ya Mungu.

Kuna mtu asiye na hatia kaonewa, Mungu kachukizwa.

Wahusika watubu ama la tutaendelea kupokea mapigo.
 
Monkeypox ilikuwepo kabla ya chanjo ya corona sasa. Case ya kwanza ilirekodiwa 1970.

Alafu elewa kuwa hapo mm nilikuwa sitetei chanjo bali nilikuwa najaribu kutofautisha huu ugonjwa na monkeypox
Umeshawahi kuiona hiyo monkeypox?
 
Back
Top Bottom