Ugonjwa mikoa ya Kusini: Watatu wafariki, Wawili wapona na Watano wamejitenga katika makazi yao

Ugonjwa mikoa ya Kusini: Watatu wafariki, Wawili wapona na Watano wamejitenga katika makazi yao

Ingekuwa hvyo bas ugonjwa ungeanzia maeneo ambayo hawana kabsa miti (jangwani) ama wao wame evolve hio hali haiwezikani wadhuru?
Nchi za kiarabu wanathamini sana miti na wanyama, though sio wanyama/miti mingi. Na hali ya hewa iliyopo arabuni washaizoea.

Huu mkoa nilipo wanakata miti balaa, mapori yalikua na swala, digdig, kanga, kware n.k. leo hii wanyama hawapo, labda mmoja mmoja.

Wanyama ni kama binadamu, wanahitaji kupumzika na kulala, sasa wakiwakatia hiyo miti wata-ishije/lala wapi!! Ni kama binadamu nyumba zetu zivamiwe na kuharibiwa na wanyama je, tuta-ishije/lala wapi!! Tuwaonee huruma viumbe hawa.
 
ulichosema ni kweli ila mm naitaji uhusiano wa kukata miti na huo ugonjwa
 
Kumbe ugonjwa unajulikana ila wajinga wanasingizia chanzo ni kukata miti ili waliponde bwawa la Nyerere, ok naona mmeshapata sababu ya kukwamisha ule ujenzi msioupenda.
Aisé hv kweli bibi yetu kichwa chake kipo sawa au
 
Ukweli mchungu huu.
Sema nini? Watendaji wetu ndiyo wanatuangusha.. Na sisi wenye uwezo wanatudidimiza tusiweze kutumia uwezo wetu kuisaidia Jamii kwa hofu kwamba tutawafunika.. Hopeless kabisa
Nchi ya kubebana hii
 
I don't want to argue with you. Your avatar says it all.
What does my avatar say?

Mimi ndio Dokta Uchwara. Kwani unasemaje labda?

Nyie MAKANJANJA mnaolisha watu machanjo yenye sumu ni halali yangu.

Nitashughulika na ninyi mtandaoni usiku na mchana mpaka mnyooke kama rula.
 
Back
Top Bottom