Sammo Hung
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 1,151
- 1,321
Ndugu wapendwa poleni na majukumu, nahitaji kufahamu kama ni kweli NYAMA YA MBUZI UKIITUMIA MARA KWA MARA HUNYONG'ONYEZA MAUNGIO YA MWILI (JOINTS) hasa MAGOTI.View attachment 593087
Nilidhani unataka kulichuna!Daah mkuu hilo BUZI limenona balaa.Uko wapi tufanye mchakato wa kulichinja??
Mwanzanian mkuu, halafu hilo ndilo DOGO kabisaDaah mkuu hilo BUZI limenona balaa.Uko wapi tufanye mchakato wa kulichinja??
Sawa mkuuHiyo kwangu ni mpya labda nifanye kautafiti kama nitapata majibu..
Hapana mkuuGout mmeshageuza magoti.
Unapata mimba.Vipi ukila sehemu ya pmbu?
WhaaatLabda huyo awe ni Mbuzi asiyejulikana Mkuu.