SWEET GIRL
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 520
- 377
sasa si bora kuachana tu?nini mwezi watu wananuniana miaka kadhaa na wanaishi wote mwishowe wanaamua watengane vyumba.asubhi kila mtu anatoka na gari lake anasepa kazini.ni utajibeba staili.ndo dawa ya mwanaume mkorofi.coz wanaume wanafikiri bila wao huwezi ishi kumbe wapi.manake unakuta mtu anarudia makosa yale yale kila siku,sasa kama sio makusudi ni nini??kununa mbona dogo,nahama chumba kabisa sitaki bugudha.mia
nini mwezi watu wananuniana miaka kadhaa na wanaishi wote mwishowe wanaamua watengane vyumba.asubhi kila mtu anatoka na gari lake anasepa kazini.ni utajibeba staili.ndo dawa ya mwanaume mkorofi.coz wanaume wanafikiri bila wao huwezi ishi kumbe wapi.manake unakuta mtu anarudia makosa yale yale kila siku,sasa kama sio makusudi ni nini??kununa mbona dogo,nahama chumba kabisa sitaki bugudha.mia
huko kununa na kususa a.k.a gubu kwa mwanamke ni suna, wanapeeeeenda kweli hawa watu! Any way tulishaambiwa ktk Bible anyi wanaume ishini na wake zenu kwa maarifa....maana ni wadhaifu... Hivyo unapaswa kujua akinuna ni kitu gani unaweza kufanya ili hali irudi shwari ndani ya nyumba.
'' AMANI NA UPENDO KATI YA MUME NA MKE HUANZIA CHUMBANI,KISHA SEBULENI HALAFU NDIO HUTOKA NJE''
Kabla sijaolewa kuna familia moja ya rafiki yangu nilikuwa naona wananuniana mpaka inafikia hatua wanaandikiana vi note
Niachie hela ya mboga,sijui naenda wapi hela inawekwa juu ya ki-note baada ya week wanacheka na kusahau yaliyokuwepo nilikuwa nashangaa sana na siamini ni aina gani ya maisha wanayoishi
Lakini nilipoingia kwenye ndoa na mie nikawa na katabia hako akinikosea nanuna hata siku tatu sitaki kusemeshwa mwisho wa siku naanza mwenyewe kuongea
Kwa namna moja ilinisaidia kwani alijua kuna vitu sipendi kufanyiwa kaniuzi na niliona kabisa mwenzangu anabadirika baada ya huo mnuno...
Ila sasa huwa navunja ukimya na kuongea yanayonisibu moyoni nimekomaa kwenye ndoa 😛oa
hiyo ya kuandikiana vi note.
kuna mtu alimuandikia mkewe ki note
'niamshe saa kumi na mbili ni muhimu'
mke ilipofika asubuhi na yeye akamuandikia ki note
'saa kumi na mbili imefika amka sasa'
jamaa kaamka saa mbili ndo anaona ki note pembeni lol
Kabla sijaolewa kuna familia moja ya rafiki yangu nilikuwa naona wananuniana mpaka inafikia hatua wanaandikiana vi note
Niachie hela ya mboga,sijui naenda wapi hela inawekwa juu ya ki-note baada ya week wanacheka na kusahau yaliyokuwepo nilikuwa nashangaa sana na siamini ni aina gani ya maisha wanayoishi
Lakini nilipoingia kwenye ndoa na mie nikawa na katabia hako akinikosea nanuna hata siku tatu sitaki kusemeshwa mwisho wa siku naanza mwenyewe kuongea
Kwa namna moja ilinisaidia kwani alijua kuna vitu sipendi kufanyiwa kaniuzi na niliona kabisa mwenzangu anabadirika baada ya huo mnuno...
Ila sasa huwa navunja ukimya na kuongea yanayonisibu moyoni nimekomaa kwenye ndoa 😛oa
Mimi huwa nakaa na wife mwezi mzima tunaandikiana SMS humo humo ndani yaani...
The boss sio wanawake wote wanapenda kununa nuna
Kama kuna jambo nalichukia basi ni watu mnapendana alafu mnanuniana,
Kwa kifupi siwezi kununa hata kwa nusu saa,na nikinuniwa napashida sana kiasi kwamba hata aliyeninunia atanionea huruma na kuacha kununua,
Mie mtu akiniboa huwa napata hasira na kuipotezea kwa mda ule huku nikimtafutia wa saa nimuweke chini na kumpa habari yake nikiwa sina harira na yy akiwa fresh naamin hapo atanielewa vizuri msimamo wangu na tutaenda sawa,
Huwa siwezi kununa kwan napenda kuongea naye hasa wakati wa kulala,
Kwan hakuna mda napenda wote tuwe na furaha km mda wa kuwa kitandan,niko radhi hata anifinye ili hasira yake iishe tukalale kwa aman lol![/QUOTE]
hapo kwenye red mie nilikuwa nasogea pembeni kabisa ya kitanda sitaki hata kusikia pumzi ,sitaki kuguswa wala sitaki uchokozi wa aina yoyote ..ila sasa siko hivo tena
HAHAHAA naona badhi yetu ndivyo tulivyoumbwa ,kweli mie hako katabia sikapingi hata kidogo
Loh mwezi mmoja ni mrefu sana mie nitashindwa kabisa kuvumilia
My dia shukuru mungu umebadilika maana,sio vizuri kulala mmenuniana maana hadi kesho mnaamuka na mamoods ya ajabu!The boss sio wanawake wote wanapenda kununa nuna
Kama kuna jambo nalichukia basi ni watu mnapendana alafu mnanuniana,
Kwa kifupi siwezi kununa hata kwa nusu saa,na nikinuniwa napashida sana kiasi kwamba hata aliyeninunia atanionea huruma na kuacha kununua,
Mie mtu akiniboa huwa napata hasira na kuipotezea kwa mda ule huku nikimtafutia wa saa nimuweke chini na kumpa habari yake nikiwa sina harira na yy akiwa fresh naamin hapo atanielewa vizuri msimamo wangu na tutaenda sawa,
Huwa siwezi kununa kwan napenda kuongea naye hasa wakati wa kulala,
Kwan hakuna mda napenda wote tuwe na furaha km mda wa kuwa kitandan,niko radhi hata anifinye ili hasira yake iishe tukalale kwa aman lol![/QUOTE]
hapo kwenye red mie nilikuwa nasogea pembeni kabisa ya kitanda sitaki hata kusikia pumzi ,sitaki kuguswa wala sitaki uchokozi wa aina yoyote ..ila sasa siko hivo tena
Mie siwezi kbs coz nina weakness ya kumaintain mnuno,naweza jisahau nikamuongelesha au hata kumkumbatia so its better tuyamalize kabla ya mida hiyo lol!