Ugonjwa wa kununa na kususa kwa wanawake...

Mkorogo nimeacha siku hizi nimefulia mkwe. Toka mmalize hela ya bahati nasibu hali yetu sio hali. Naona ndo unamtaftia mwanangu sababu umuache eh!
hahahahaha! Ulivyoniambia unapika nilitaka kukuuliza kama kucha umebandua na carolight hupaki tena. Najua mkwe wangu unapikia kuni, angalia usibabuke.
 
ndo maisha ktk ndoa, bali ni vzr ukiona hali iko vingine ususubiri ck nyingi zipite, itakuwa unalijua kosa na unafanya makusudi. mi huwa natumia muda wa usiku saana kujadiliana mambo kama hayo , ikitokea hali ya hewa imechafuka. tutazungumza na kupata ufumbuzi usiku huo huo. wanaume jamani mara nyingi jokes na ...... na kumtoa out, humfanya mwanamke akuamini na kukupenda. p'se do that.
 
We jinsia gani??
 
unakuja kumuuliza utasikia 'ahhh unajua siku ile uliniita mjinga uliniuudhi sana'...

...hii argument ukiwa umeshikilia mpini waweza ona aaarrghh, huyu naye jambo dogo aliliwekea gubu,
lakini kama ndiye uliyeshika makali ..wallahi ukitamkiwa hivyo na unayempenda kuna maswali lukuki waweza
jiuliza
, na kama huna nafasi ya kumhoji ujinga wako nini...utaishia kuvimbisha mdomo tu.

The Boss, nikikamua jipu katika harakati za kutafuta kiini...nahisi huyo mwenza lazima atakuwa hapati/hapewi uhuru wa kuji express [kulalamika, kujieleza, kusikilizwa] kiasi cha kuhisi naye anaheshimiwa na kuthaminiwa kama zamani
.
 
aisee Mbu wewe uko few steps ahead kwenye kuwaelewa hawa watu....
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
aisee Mbu wewe uko few steps ahead kwenye kuwaelewa hawa watu....

....theoretically! ....practically hata mimi inanisumbua ninapojiaminisha nishabembeleza sana
lakini jitu halitaki kubembelezeka.... 😉

Madeko yakizidi inakuwa nongwa tena, khaa!
 
Hahaha! Moskwito banaa! Eti 'jitu halitaki kubembelezeka'! Sasa wewe unajiaminisha ushabembeleza wakati mwenzio bado hajakolea mabembelezo. Spice things up sugar boy!
Nyie wanaume bana!
On a serious note The Boss, lack of communication ni source ya matatizo yote ya mahusiano! Ila msiombe kukutana na mwanaume anaenuna, aisee! Hadi aibu!

Hahahaha. . . eti jitu.
Mbaya wewe Mbu, ila nadhani Boss atakua amefurahi sasa.
 
Hahaha! Moskwito banaa! Eti 'jitu halitaki kubembelezeka'! Sasa wewe unajiaminisha ushabembeleza wakati mwenzio bado hajakolea mabembelezo. Spice things up sugar boy!
Nyie wanaume bana!
On a serious note The Boss, lack of communication ni source ya matatizo yote ya mahusiano! Ila msiombe kukutana na mwanaume anaenuna, aisee! Hadi aibu!

Mwanaume bwana anatakiwa adeke na sio anune. . .
 
ha haaa Lizzy uko right ....hii ni quote of the day lol.....
 
aisee Mbu wewe uko few steps ahead kwenye kuwaelewa hawa watu....

Ndio maana Yesu aliwaambia kuwa wajibu wenu ni KUWAPENDA wake zenu (hakusema kuwaeelewa) Kama yeye alivyolipenda KANISA haijalishi linajishebedua au nini!

Hivi wanawake tungekuwa na tabia kama za wanaume hayo mahusiano yangenoga?
 
Wifi, tena ukikuta wa kule kwenu na ananjijua yeye hendisamu! Kha! Atanuna hata mbele uya ndugu zake na ndugu zako, saa ingine unachekea pembeni yaani! uzuri mie napenda kucheka, so hata nikinuna I make efforts kuhakikisha I'm up and about in the next 30 mins whether with you or without you! Kazi inakuwa kwake,lol!
Mwanaume bwana anatakiwa adeke na sio anune. . .
 
Ndio maana Yesu aliwaambia kuwa wajibu wenu ni KUWAPENDA wake zenu (hakusema kuwaeelewa) Kama yeye alivyolipenda KANISA haijalishi linajishebedua au nini!

Hivi wanawake tungekuwa na tabia kama za wanaume hayo mahusiano yangenoga?

ahhh mkijishebedua sana ni kero lol
 
kweli huyu ni maombi aisee...ndo dawa

Alafu unampa doze ya kutosha, hdi akinuna tu siku moja ya pili akikumbuka yale mambo lazima tu ang'aze nyota mwenyewe. Wkati mwingine usiku mkilala jifanye umemgusa kwa bahati mbaya. Wakati mwingine jifanye umelala fofofo alafu unamuota kwa sauti, unamtaja taja. Wakati mwingine inabidi uwe creative kaka.
 
....theoretically! ....practically hata mimi inanisumbua ninapojiaminisha nishabembeleza sana
lakini jitu halitaki kubembelezeka.... 😉

Madeko yakizidi inakuwa nongwa tena, khaa!

Mbu umenifurahisha kinoma chalii angu aisee, yaani ungekuwa karibu ningekupa maziwa freshi unye kwa heshima ushushe pumzi.
 
Back
Top Bottom