Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaha! Ulivyoniambia unapika nilitaka kukuuliza kama kucha umebandua na carolight hupaki tena. Najua mkwe wangu unapikia kuni, angalia usibabuke.
ndo maisha ktk ndoa, bali ni vzr ukiona hali iko vingine ususubiri ck nyingi zipite, itakuwa unalijua kosa na unafanya makusudi. mi huwa natumia muda wa usiku saana kujadiliana mambo kama hayo , ikitokea hali ya hewa imechafuka. tutazungumza na kupata ufumbuzi usiku huo huo. wanaume jamani mara nyingi jokes na ...... na kumtoa out, humfanya mwanamke akuamini na kukupenda. p'se do that.
unakuja kumuuliza utasikia 'ahhh unajua siku ile uliniita mjinga uliniuudhi sana'...
...hii argument ukiwa umeshikilia mpini waweza ona aaarrghh, huyu naye jambo dogo aliliwekea gubu,
lakini kama ndiye uliyeshika makali ..wallahi ukitamkiwa hivyo na unayempenda kuna maswali lukuki waweza
jiuliza, na kama huna nafasi ya kumhoji ujinga wako nini...utaishia kuvimbisha mdomo tu.
The Boss, nikikamua jipu katika harakati za kutafuta kiini...nahisi huyo mwenza lazima atakuwa hapati/hapewi uhuru wa kuji express [kulalamika, kujieleza, kusikilizwa] kiasi cha kuhisi naye anaheshimiwa na kuthaminiwa kama zamani.
aisee Mbu wewe uko few steps ahead kwenye kuwaelewa hawa watu....
....theoretically! ....practically hata mimi inanisumbua ninapojiaminisha nishabembeleza sana
lakini jitu halitaki kubembelezeka.... 😉
Madeko yakizidi inakuwa nongwa tena, khaa!
....theoretically! ....practically hata mimi inanisumbua ninapojiaminisha nishabembeleza sana
lakini jitu halitaki kubembelezeka.... 😉
Madeko yakizidi inakuwa nongwa tena, khaa!
Hahaha! Moskwito banaa! Eti 'jitu halitaki kubembelezeka'! Sasa wewe unajiaminisha ushabembeleza wakati mwenzio bado hajakolea mabembelezo. Spice things up sugar boy!
Nyie wanaume bana!
On a serious note The Boss, lack of communication ni source ya matatizo yote ya mahusiano! Ila msiombe kukutana na mwanaume anaenuna, aisee! Hadi aibu!

how?............
Mwanaume bwana anatakiwa adeke na sio anune. . .
Ndio maana Yesu aliwaambia kuwa wajibu wenu ni KUWAPENDA wake zenu (hakusema kuwaeelewa) Kama yeye alivyolipenda KANISA haijalishi linajishebedua au nini!
Hivi wanawake tungekuwa na tabia kama za wanaume hayo mahusiano yangenoga?
wewe huwa unanuna pia?
kweli huyu ni maombi aisee...ndo dawa
we hujawahi kumnunia mtu wiki??
....theoretically! ....practically hata mimi inanisumbua ninapojiaminisha nishabembeleza sana
lakini jitu halitaki kubembelezeka.... 😉
Madeko yakizidi inakuwa nongwa tena, khaa!