Wahenga walisema "Mficha uchi hazai"Nitawekaje tupu yangu huku jukwaani?
Mkuu,.upo serious???Hiyo ni fistula. Wahi hospitali ukamuone Daktari akupasue...
Mkuu, ninayo bawasili lakin napata shida sana ikifikiria maumiv ya upasuajiNenda hospital yawezekana ni Bawasili
Mkuu mm tayar natokwa na damu wakat wa haja kubwa. Nikipanda bodaboda ikidunda kwenye shimo nahisi maumivu kama nimekalia kisu cha moto. Natamani wakanifanyie upasuaji tu waikate itoke.Hakika ni bawasiri inauma na zaidi inafadhaisha nimewahi kutokewa mara mbili na ikapotea yenyewe ila ilipokuja kutoka Mara ya tatu hali haikuwa nzuri nilitumia alovera kwa kupaka ute wake kuzunguka uvimbe pia kunywa juisi yake kiasi cha nusu Lita asubuhi kabla ya chochote na jioni wakati wa kulala kuhusu maumivu nilikuwa nikitumia flamar mix
Mkuu mm tayar natokwa na damu wakat wa haja kubwa. Nikipanda bodaboda ikidunda kwenye shimo nahisi maumivu kama nimekalia kisu cha moto. Natamani wakanifanyie upasuaji tu waikate itoke.yMkuu mimi niko mwanza, nimetoka hospital sasa hivi nimeambiwa ni bawasiri, kuna dawa Dr kanishauri nikazitafute zitanisaidia zaidi kuliko hizo za bima, kuna gel moja inauzwa 18k nimeshaipata na vidonge vinauzwa 38k ndio nahangaika kuvitafuta hapa bado sijavipata....ila mwanzoni nilidhani ni jipu na wife aliniwekea kitunguu saumu eti liive, hapa nilipo nikishika nalisikia kama ni laini laini mno, natamani ata litobolewe niweze kukaa au kutembea vizuri.
Mm nikienda haja ndo kinajitokeza nikjikamua nnya kinauma na kinamwaga damuhuu ugonjwa unaitwa fistulectomy au wakati mwingine wanasema sinus. kinajitokeza kijipu kidogo na kinauma sana. dawa ya hii kitu ni kufanyiwa operation. kwa yule ambaye anasema kanauma sana, akienda watapasua na humo ndani wanaweka pamba ambazo zinatolewa baada ya 24 hrs. ni operation inauma hasa ukitaka kwenda choo.usipowa wakaipasua ikiwa ndogo, kule ndani inajijenga na unaweza shikwa upande wa pindi wa toako. kwa kuwa una access ya internet wewe andika fistulectomy, i dont know if am correct in spelling, ila utapata ABC za ugonjwa huu. nashauri kwa yule aliyeko mwanza angalia dr mmoja anaitwa dr Philipo ni surgeon specialist huyu ni mtaalamu sana. kuwai ni bora kuliko kuchelewa kwani ukichelewa inakuwa kansa au wanaweza kuwekea mpira tumboni ili kule matakoni wapatibu papone. Ni ushauri tu, kama hutaki unaacha. Asante
Kwahyo ni bawasili au kijipu?Mkuu na mimi ilinitokea mwaka jana hiki kinundu kama jipu kikaja kupotea chenyewe baada ya muda mfupi ila kwa sasa ndio kimechachamaa hatari, siwezi kukaa kama kawaida au kutembea, hapa nina Ed nipo kitandani nimelala tu.
Inaponesha bawasili hii?Wataalamu wanasema unaweza kutumia dawa inayoitwa.
Amoxicillin & Clavulanate Potassium Tablets USP
Pamoja na panadol ya kupunguza maumivu
Dozi ni ya wiki moja kidonge kimoja asubuhi kingine jioni, dawa hiyo inauzwa kati ya 21,000 na 25,000.
Picha basi...ili tukupe ushauri wenye uhalisiaPembeni ya tundu la haja kubwa nimetokewa na uvimbe kama vile ni jipu, lina maumivu makali mno, ukipashika ni kama kinundu kikubwa hivi, nakumbuka mwaka jana niliwahi kutokewa nacho kikapotea chenyewe kimya kimya, sasa jumapili hii iliyopita nimetokewa nacho tena, mara hii nashindwa kutembea sawa au kukaa inakuwa shida, naomba msaada kujua hii ni nini?
Mkuu, ninayo bawasili lakin napata shida sana ikifikiria maumiv ya upasuaji
Zipo dawa za muda mrefu zinaponyesha mkuu, fanya uende hospital upate msaada, pia inatakiwa ule matunda na mboga za majani kwa wingi ili kusaidia kupata choo kilaini.Mkuu mm tayar natokwa na damu wakat wa haja kubwa. Nikipanda bodaboda ikidunda kwenye shimo nahisi maumivu kama nimekalia kisu cha moto. Natamani wakanifanyie upasuaji tu waikate itoke.Mkuu mm tayar natokwa na damu wakat wa haja kubwa. Nikipanda bodaboda ikidunda kwenye shimo nahisi maumivu kama nimekalia kisu cha moto. Natamani wakanifanyie upasuaji tu waikate itoke.yMm nikienda haja ndo kinajitokeza nikjikamua nnya kinauma na kinamwaga damuKwahyo ni bawasili au kijipu?Inaponesha bawasili hii?
Zipo dawa za muda mrefu zinaponyesha mkuu, fanya uende hospital upate msaada, pia inatakiwa ule matunda na mboga za majani kwa wingi ili kusaidia kupata choo kilaini.
Very much serious. Nenda Google tafuta hii 'Anol fissure' then ukisoma utaona anachsema mleta uzi ni sawa kabisa kwa asilimia 99.9.Mkuu,.upo serious???
Pembeni ya tundu la haja kubwa nimetokewa na uvimbe kama vile ni jipu, lina maumivu makali mno, ukipashika ni kama kinundu kikubwa hivi, nakumbuka mwaka jana niliwahi kutokewa nacho kikapotea chenyewe kimya kimya, sasa jumapili hii iliyopita nimetokewa nacho tena, mara hii nashindwa kutembea sawa au kukaa inakuwa shida, naomba msaada kujua hii ni nini?
sikutumia dawa nyingine zaidi ila lazima juisi yake ihusike pia nusu Lita asubuhi nusu lita usikuMkuu Aloevela peke yake ndio imekuponesha!!
kama umeandikiwa dawa sio swala ila mimi sikwenda hospitality nilijaribu kuulizia kwa mtu anaitwa dr.Fadhiri yupo fb ndio nikapata ushauri huo na nilipona ndani ya wiki moja kuhusu maumivu jaribu flamar mix inatuliza kwa muda mrefuMkuu na mimi ilinitokea mwaka jana hiki kinundu kama jipu kikaja kupotea chenyewe baada ya muda mfupi ila kwa sasa ndio kimechachamaa hatari, siwezi kukaa kama kawaida au kutembea, hapa nina Ed nipo kitandani nimelala tu.
Ushapima na kuambiwa kuw ni BawasilMkuu mm tayar natokwa na damu wakat wa haja kubwa. Nikipanda bodaboda ikidunda kwenye shimo nahisi maumivu kama nimekalia kisu cha moto. Natamani wakanifanyie upasuaji tu waikate itoke.Mkuu mm tayar natokwa na damu wakat wa haja kubwa. Nikipanda bodaboda ikidunda kwenye shimo nahisi maumivu kama nimekalia kisu cha moto. Natamani wakanifanyie upasuaji tu waikate itoke.yMm nikienda haja ndo kinajitokeza nikjikamua nnya kinauma na kinamwaga damuKwahyo ni bawasili au kijipu?Inaponesha bawasili hii?
Naona raia wamekupa like nyingi mkuu sijafahamu wanamaanisha nnMkuu mimi niko mwanza, nimetoka hospital sasa hivi nimeambiwa ni bawasiri, kuna dawa Dr kanishauri nikazitafute zitanisaidia zaidi kuliko hizo za bima, kuna gel moja inauzwa 18k nimeshaipata na vidonge vinauzwa 38k ndio nahangaika kuvitafuta hapa bado sijavipata....ila mwanzoni nilidhani ni jipu na wife aliniwekea kitunguu saumu eti liive, hapa nilipo nikishika nalisikia kama ni laini laini mno, natamani ata litobolewe niweze kukaa au kutembea vizuri.
Dispensary sina hakika sana ila walau nenda kwenye health center, huko unaweza kupata huduma nzuri zaidi, pia utapata ushauri wa mzuri zaidi kuhusu ipi ni dawa nzuri kulingana na ukubwa wa tatizo lako.Dispensary inaweza au muhimbili?
Ungewauliza wao nafikiri ungepata jibu zuri zaidi.Naona raia wamekupa like nyingi mkuu sijafahamu wanamaanisha nn
Nashukuru sana kwa ushauri mkuu, usiponisaidia mimi utawasaidia wengine wengine wanaopitia uzi huu wenye tatizo kama langu au pengine ndugu, jamaa na marafiki zao ni wahanga wa kadhia hii. Barikiwa sana.Tafuta mafuta ya habasoda uwe unajipaka mkuu. inasaidia sana.
Hapana kuna jirani yangu kaandikiwa hiyo dozi baada ya kuwaona wataalamu wa afya, ngoja tusubiri matokeo yake.Mkuu mm tayar natokwa na damu wakat wa haja kubwa. Nikipanda bodaboda ikidunda kwenye shimo nahisi maumivu kama nimekalia kisu cha moto. Natamani wakanifanyie upasuaji tu waikate itoke.Mkuu mm tayar natokwa na damu wakat wa haja kubwa. Nikipanda bodaboda ikidunda kwenye shimo nahisi maumivu kama nimekalia kisu cha moto. Natamani wakanifanyie upasuaji tu waikate itoke.yMm nikienda haja ndo kinajitokeza nikjikamua nnya kinauma na kinamwaga damuKwahyo ni bawasili au kijipu?Inaponesha bawasili hii?