huu ugonjwa unaitwa fistulectomy au wakati mwingine wanasema sinus. kinajitokeza kijipu kidogo na kinauma sana. dawa ya hii kitu ni kufanyiwa operation. kwa yule ambaye anasema kanauma sana, akienda watapasua na humo ndani wanaweka pamba ambazo zinatolewa baada ya 24 hrs. ni operation inauma hasa ukitaka kwenda choo.usipowa wakaipasua ikiwa ndogo, kule ndani inajijenga na unaweza shikwa upande wa pindi wa toako. kwa kuwa una access ya internet wewe andika fistulectomy, i dont know if am correct in spelling, ila utapata ABC za ugonjwa huu. nashauri kwa yule aliyeko mwanza angalia dr mmoja anaitwa dr Philipo ni surgeon specialist huyu ni mtaalamu sana. kuwai ni bora kuliko kuchelewa kwani ukichelewa inakuwa kansa au wanaweza kuwekea mpira tumboni ili kule matakoni wapatibu papone. Ni ushauri tu, kama hutaki unaacha. Asante