Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Mkuu tatizo lako linatibika kwa uhakika kabisa.

Kuna babu mmoja yuko anatibu tatizo hilo kwa miti shamba na amewatibu wengi sana ila yuko kanda ya ziwa (Simiyu). Na hivi hata mwezi haujaisha amemtibu mtu na amepona, yeye sio mganga wa kienyeji ila sema tu anajua dawa mbali mbali za magonjwa na hasa tatizo la bawasiri (mang'ondi) ndio limemfanya akawa kama mganga maana wengi wamekuwa wakipona kwake na huwa anasema kwa tatizo hilo hakuna haja ya kuhangaika kumeza au kupaka kemikali za hospitali maana kwake ni tatizo dogo sana.

Kikwao ugonjwa huo wanaita Mang'ondi.

Kuna bawasiri ile inayotokea kwenye njia ya haja kubwa na ile inayotokea kwa sehemu za siri kwa wanawake.

Kama utakuwa na uwezo wa kufika kwake nina uhakika tatizo hilo litakuwa historia kwako kama Mungu ikimpendeza.
 
Mimi pia nimewahi kuwa mhanga wa hiyo makitu,nikitumia sana dawa za hospital tatizo likapungua kidogo na likawa linajirudia baada ya siku NNE au tano. Nikakutana na Dr.flan mtaani nikamweleza akanambia namna ya kumaliza hiyo makitu fanya mazoezi na kweli nilipiga sana mazoezi jamii ya squat na tatizo limeisha ila nilikuwa nakosa sana amani hasa nikiwa naenda haja kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo la kukaa Sana chooni kwakuharisha pia nakubaliana nawe mkuu. Maana hiyo shida ( BAWASILI) ndo inayo nisumbua sasa hivi,yaani sina Amani kabisa.
Kuna jamaa wa tiba asili nimemfuata akaniambia dawa anayo Kwa 200k. Nikanywea kabisa, if anyone can help Kwa cheap price if not for free ajitokeze nipate kupona.
 
Hapa umenisaidia na Mimi,,barikiwa
 
anapatikanaje?
 
Mi iliwahi kunipata nkajitahid kula sana bamia yaan kula hasa pia nyama nkaacha kula ikaisha.Japo huwa naona kama dalili hasa hasa nsipokula matunda mda mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mpaka wewe rafiki yangu mzenji unayo,nakuchoraga tu nikikuona najisemea kimoyo "eti anayo yule,Allah amponye yeye na atuhifadhi sote"
 
Pole sana ndugu. Kuna binti alikua na bawasiri akatumia edmark products (sina uhakika zipi), na akapona kabisa bila upasuaji.

Mtafute huyu mama atakupa maelekezo.
+255 786 776 613

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…