Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Nilipona na nikamponesha mtu wangu wa karibu.

Nilitwanga alovera nilichanganya katika maji sikumbuki yalikuwa kiasi gani kwani nilikuwa najifanyia majaribio mwenyewe kabla sijaenda hospital nilikunywa ndani
ya week moja asubuhi grass moja kisha najipaka ute wa alovera katika bawasiri na jioni hivyo hivyo.Bawasiri ilitoweka nikampa mtu wangu wa karibu ajitibu kwa njia hiyo akapona.

Ila mchana nilikuwa nakunywa grass moja ya mwarobaini

Grass ndogo ya maji ya kunywa.
Jaribu nawe Wenda ukapona.
 
Habar zenu wakuu

Hv majuz nmepata kusikia humu humu JF watu wakiongelea about hii kitu bawasili ila sija fahamu exactly hii kitu n nn aswaa yan n ugonjwa wa aina hii upoje Dalili zake, ukiwanao utaexperience na tiba ake kwa ujumla
 
Naomba ni DM ma angu anafahamu dawa yake na amesaidia marafiki zangu kadhaa
 
Hili tatizo limekua kubwa sana,na kutoka kwa watu waliowahi kuwa nalo au wanalo unaweza kupata angalau picha ya maumivu waliyopitia au wanayopitia.....sasa sipo kwa ajili ya kuchukua hela yako ila natamani kukusaidia,kuna dawa ambayo imewasaidia wengi na ni ya kienyeji matokeo ni baada ya siku mbili mpaka tatu unarudi kawaida,wakati mwingine operation piles huwa zinarudi hebu jaribu hii kwa mara ya mwisho Mungu atakusaidia,maelezo zaidi nifuate inbox siwez kuelezea kila kitu hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Doctor naomba ushauri wako ninasumbuliwa na tatizo la kutokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa ninapojisaidia na baada ya kutoka kujisaidia nikikaa kama dk 10 kile kinyama kinarudi ndani ila sisikii maumivu yeyote,je! nifanyenini ili tatizo hilo liishe kabisa!
 
Mimi sio Doctor.

Nilipoumwa huu ugonjwa nilitumia utomvu wa Mgomba kupaka kwenye kinyama for about 5 days hivi ikaisha.

Sasa kupata utomvu wa Mgomba na wewe ukiwa DSM ni shughuli kwelikweli unaweza tumia alternative ya itomvu wa Ndizi labd lkn for effective cure tumia utomvu wa Ndizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…