Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ukiona unauziwa dawa zaidi ya elfu 50 jua unapigwa hakuna dawa hapo....! Hawa watu wa tiba asili janja janja nyiingi

Ukiuziwa bei ndogo inakula kwako kama 50000 au 80000 sana sana dawa inayotibu bawaziri inaanzia 250,000 kwenda juu watanzania tunapenda dezo sana ,kuna watu humu wamelipa 50,60 mpåka 80 lakin bado hawajapona ,Sisi tiba lishe yetu inaanzia 230 kwenda juu na tunaonana hana kwa hana hatuna ujanja ujanja
 
I had this shit ila nimeitibu mwenyewe at zero cost. Ngoma hii ni matokeo ya kutokuzingatia vitu vidogo dogo ila ni muhimu na usipovifuata madhara yake ni makubwa.

Kitu cha kwanza ni kunywa maji baada ya mlo. Nikili kwamba sikuwa mdau wakunywa baada ya mlo. Nilikua nakula alafu maji nakuja kunywa baada ya lisaa hadi mawili.
Faida kubwa ni kwamba maji hayo yataenda kutumika moja kwa moja kwenye mfumo wa umeg'wenyaji wa chakula tumboni. Usipo kunywa maji baada ya kula matokeo yake ni nini?

Matokeo ni kwamba chakula ulichokula nikua kigumu(kinyesi) wakati unakitoa chooni, hivyo kusababisha kuzikwangua kuta za tundu la haja kubwa na kufanya zivimbe. Nyingi uvimba ndani kwa ndani na nyengine hutoka mpaka nje.

Hapo sasa ndio inaibuka "notion" kuwa kunavinyama vinaota ambayo si kweli. Ukweli nikwamba kinachonekana ni uvimbe na sio vinyama vilivyoota.

Cha pili cha kuzingitia ni kutokula vitu vigumu mfano chapati, nyama ambayo haijapikwa na kulainika vizuri.

Cha tatu usile msosi mpaka ukashindilia tumbo, kula tu kiasi baada ya hapo kunywa maji yako ya kutosha.
 
I had this shit ila nimeitibu mwenyewe at zero cost. Ngoma hii ni matokeo ya kutokuzingatia vitu vidogo dogo ila ni muhimu na usipovifuata madhara yake ni makubwa...

Unasema kunywa maji kwenye mlo wako kumbuka chakula huwa hakisagwi na maji,na ukifanya hivyo mmengenyo wa chakula unakuwa mgumu sana unashauriwa unapomaliza kula ipite walau nusu saa au lisaa ndo unywe maji,kama unakunywa maj kwenye mlo acha kabisa na watoto wako wazuie kufanya hivyo
 
Rekebisha hapo " hana kwa hana " na isomeke ' ana kwa ana '
Shukrani kwa maelezo ya tibalishe
 
kila biashara inachangamoto zake ila hii yako kiboko. Kwa nini usababishie watu matatizo ya kutokujiamini na kupunguza ufanisi wao katika kazi mbali mbali kwa advocate ushauri wa uongo kuwa maji wanywe baada ya nusu Kweli.
 
250,000/= ni affordable?
Umetumia kigezo kipi

Ni affordable kwa sababu kati ya afya na pesa ni nini Chenye thamani?juz kati nilikuwa naongea na Mzee mmoja alifanyiwa operation ya tez dume kwa gharama ya sh laki tisa, tungeonana mapema nikampa dawa yetu gharama ingepungua na sisi tuna uwazi kwenye kutoa dawa mteja anakuja tunampatia dawa analipia ,kama una changamoto ya bawasiri, au una ndugu ana maradhi hayo mwambie aje ofsini apate tiba ,tiba lishe yetu inatibu zaidi ya magonjwa 100 yasiyo ya kuambukiza ikiwemo vidonda vya tumbo,bawasiri,kisukari type 1 na type

2 ,uvimbe kwenye kizazi ,presha ,matatzo ya nguvu za kiume hilo tatzo linaondoka kabisa hautatumia supershaft,Viagra au vimbi la Kongo tena ,kwa hiyo toa taarifa kwa watu wengi zaidi waje wapate tiba waache kuteseka.

Hii tiba lishe yetu ina seli shina(stem cell) yenye kupambana na magonjwa sugu na kuyaondoa kabisa ,mawasiliano 0714267658 nitumie meseji au piga ,tunafanya kaz kwa uaminifu mkubwa na tumeweza kuwafikia watu wengi sana.
 
Oooooh poleeeh sana ni ugonjwa mbaya sana huu, na maumivu yake hayaelezeki.
Watalaamu wa Afya watatoa maelezo ya kitabibu, ila nasikiaga hii ya nje huwa wanafanya operation.

Tusubiri wataalamu waeleze kwa kina, ila poleeeh sanaa.
 
Oooooh poleeeh sana ni ugonjwa mbaya sana huu, na maumivu yake hayaelezeki.
Watalaamu wa Afya watatoa maelezo ya kitabibu, ila nasikiaga hii ya nje huwa wanafanya operation.

Tusubiri wataalamu waeleze kwa kina, ila poleeeh sanaa.
Ahsante
 
Pole sana ila kuna uzi upo humu watu walitoa dawa na wengine ushauri, utafute mkuu.
 
Pole sana ...mimi ilishawahi kunipata 2017 ninachokumbuka yangu ilikuwa tofauti kidogo hunikuta ninakaa na njaa muda mrefu hasa mwezi wa Ramadhan katikati...nilishauliwa nile vyakula vya nafaka hasa visivyokobolewa.

Kule usukumani wanaita Mang'ondi wana dawa yao hivi...ni majani ya mti flani sikumbuki wanachukua na kuyaweka jikoni baadae unachukua na kusugua kwenye hilo eneo (pulu). Tafuta msukuma akusaidie kwa dawa ya mitishamba.

Bawasili ni mbaya iwahi mapema
 
Pole sana ...mimi ilishawahi kunipata 2017 ninachokumbuka yangu ilikuwa tofauti kidogo hunikuta ninakaa na njaa muda mrefu hasa mwezi wa Ramadhan katikati...nilishauliwa nile vyakula vya nafaka hasa visivyokobolewa....

Jitahidi kula vitu laini kunywa maji na kula mazao ya mizizi kama miogo viazi, mboga za majani. Usile nyama nyekundu , wacha kula vitu vyote vya kuchoma choma.

Iyo dawa. Chukua muosha fedha, kungu la ndizi, mbigili choma kwa wakati mmoja hadi upate weusi. Utasugua huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…