Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Nunua cream ya kupaka inaitwa dermaquat pamoja na vidonge vya kuchomeka downstairs vinaitwa anusol. Cream unapaka asubuhi na usiku,vidonge unaweka mara moja kwa siku kila ukitoka kushusha Mzigo.

Tumia kwa siku 14 hivi ukiona bado nenda hospitali. Pia kunywa sana maji ili upate choo laini,usitumie muda mrefu wa siku ukiwa umekaa.
 
Wakuu nateseka, bado sijapata effective but simple medicine.

Sitaki kwenda hospital, watanifanyia operation, nishindwe kuendesha shughuli zangu.

Nisaideni dawa simple.
 
Bawasiri ni maradhi ya aina ipi? Kwa wanao elewa maradhi ya aina hiyo anieleweshe.
 
Kwenye mahala pa aja kubwa vinatoka vinyama. Yaani rectum inatoka kwa nje. Usile vyakula vigumu. Kula matunda na mbonga. Usijisaidie aja kubwa uku umesimama na usitumie nguvu nyingi kujikamua. Oiiiiiii
 
Dah... Sijui kama mleta mada kakuelewa vizuri, japo mimi daktari nimejua una nia njema ya kuelekeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…