Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,483
- 6,257
Nisaidie dawa simple but effective ya Bawasiri. Nateseka.Mimi nilipoteza pesa nyingi sana,cha ajabu nilisaidiwa na bibi mmoja kwa gharama ya Sh.10,000 tu kule Iringa mpaka leo sijaona tena.Lilinisumbua tangu 2016 mpaka mwanzoni mwa 2021.