Tundazuri JF-Expert Member Joined Apr 17, 2012 Posts 1,932 Reaction score 2,525 Jan 15, 2024 #2,481 Dr Matola PhD said: Na wakati mwingine tuwe tunasema ni sisi wenyewe ndio tunaumwa, maana kila anaekuja hapa utasikia anamwakilisha mtu ina maana sisi member hatuumwi? Click to expand... Mimi niliumwa doctor ila nimekunywa mlonge nimepona, naweza kukuonyesha?
Dr Matola PhD said: Na wakati mwingine tuwe tunasema ni sisi wenyewe ndio tunaumwa, maana kila anaekuja hapa utasikia anamwakilisha mtu ina maana sisi member hatuumwi? Click to expand... Mimi niliumwa doctor ila nimekunywa mlonge nimepona, naweza kukuonyesha?
Tundazuri JF-Expert Member Joined Apr 17, 2012 Posts 1,932 Reaction score 2,525 Jan 15, 2024 #2,482 Ukiweza kupata majani ya mlonge ukachemsha ukanywa yaan unapona kabisa within a week unapeta tuu, hata ukitafuna zile mbegu ila ni shida sanaa kichefuchefu bora majani
Ukiweza kupata majani ya mlonge ukachemsha ukanywa yaan unapona kabisa within a week unapeta tuu, hata ukitafuna zile mbegu ila ni shida sanaa kichefuchefu bora majani