Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Na wakati mwingine tuwe tunasema ni sisi wenyewe ndio tunaumwa, maana kila anaekuja hapa utasikia anamwakilisha mtu ina maana sisi member hatuumwi?
Mimi niliumwa doctor ila nimekunywa mlonge nimepona, naweza kukuonyesha?
 
Ukiweza kupata majani ya mlonge ukachemsha ukanywa yaan unapona kabisa within a week unapeta tuu, hata ukitafuna zile mbegu ila ni shida sanaa kichefuchefu bora majani
 
Back
Top Bottom