Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Dah!
Mola akuongezee maarifa mkuu mzizimkavu!
Ahsante sana maana kwa namna ulivyoeleza umegusa sana namna tatizo langu lilivyo maana hizo damu hutoka kama damu fresh separate halafu pia wakati mwingine huwa kama zilivujia ndani na zikawa zimeanza kuganda,
 
hata mimi niliwashawi kupatwa na tatizo kama lako lilianza kwa kuwa na muwasho, nikapuuzia baada ya miezi sita au saba ikatengeneza kama jipu likawa linavuta na kutoa usaha, me nikajua ni jipu, nikaenda dispensari wakalikamue, but walikamua nikakaa miezi mitatu tena hali ni ilee ile, nikaenda hospitali kubwa wakaniambia ni absess ambazo zinakuwa kama jipu, nikafanyiwa operation mwaka jana, but nilipona ila maendelea yake baada ya kutumia dawa na kukalia detto, sasa nimepona ila nina kitundu kidogo ambacho kimekuwa kama fistula, connection kati ya kitundu hicho na sehemu ya haja kubwa, ingawa hakinisumbui but kinatoa uchafu nikienda chooni, week ya kesho naenda kufanyiwa operation tena kuondoa tatizo hilo..
 
MKUU mzizi mkavu kaeleza vizuri mno sina haja ya kurudia tafiti zinaonyesha wanaofanyiwa operashen baada ya mda ugonjwa unajirudia hivyo binafsi sikushauri upasuaji kwani ni kwa mda tu USHAURI WANGU
MKUU KAKUSISITIZA MBOGA KUNA VIRUTUBISHO AMBAVYO VINAHITAJIKA KUONDOA HUO UGONJWA ambavyo vipo kwenye mboga za majani na tatizo kuisha hila virutubisho hivyo tunavikosa kwa sababu siku hizi mamboga ya majani yanalimwa kwa kemikali nyingi na umwagiliwa madawa ya kuulia wadudu hivyo tunaweza kusema tunakula mboga kumbe tunakula mwadawa matupu hivyo hata vitubisho tunavyokusudia kuvipata tukavikosa kabisa hivyo tatizo kukaa kwa mda mrefu bilakuondoka kabisa nitafute kwa no 0683672508 hiyo nitakusaidia if your serios na tatizo litakwisha kabisa MSISITIZO USIJARIBU KWENDA KWA WANGANGA WA KIENYEJI WENYEWE WANAKATA KWA VIWEMBE NA WANAKUWEKEA MADAWA YAO AMBAYO YATAKUHATARISHIA MAISHA uguaza pole mgonjwa wako ukizingatia atapona kabisa
 
MKUU mzizi mkavu kaeleza vizuri mno sina haja ya kurudia tafiti zinaonyesha wanaofanyiwa operashen baada ya mda ugonjwa unajirudia hivyo binafsi sikushauri upasuaji kwani ni kwa mda tu USHAURI WANGU
MKUU KAKUSISITIZA MBOGA KUNA VIRUTUBISHO AMBAVYO VINAHITAJIKA KUONDOA HUO UGONJWA ambavyo vipo kwenye mboga za majani na tatizo kuisha hila virutubisho hivyo tunavikosa kwa sababu siku hizi mamboga ya majani yanalimwa kwa kemikali nyingi na umwagiliwa madawa ya kuulia wadudu hivyo tunaweza kusema tunakula mboga kumbe tunakula mwadawa matupu hivyo hata vitubisho tunavyokusudia kuvipata tukavikosa kabisa hivyo tatizo kukaa kwa mda mrefu bilakuondoka kabisa nitafute kwa no 0683672508 hiyo nitakusaidia if your serios na tatizo litakwisha kabisa MSISITIZO USIJARIBU KWENDA KWA WANGANGA WA KIENYEJI WENYEWE WANAKATA KWA VIWEMBE NA WANAKUWEKEA MADAWA YAO AMBAYO YATAKUHATARISHIA MAISHA
 
MKUU mzizi mkavu kaeleza vizuri mno sina haja ya kurudia tafiti zinaonyesha wanaofanyiwa operashen baada ya mda ugonjwa unajirudia hivyo binafsi sikushauri upasuaji kwani ni kwa mda tu USHAURI WANGU
MKUU KAKUSISITIZA MBOGA KUNA VIRUTUBISHO AMBAVYO VINAHITAJIKA KUONDOA HUO UGONJWA ambavyo vipo kwenye mboga za majani na tatizo kuisha hila virutubisho hivyo tunavikosa kwa sababu siku hizi mamboga ya majani yanalimwa kwa kemikali nyingi na umwagiliwa madawa ya kuulia wadudu hivyo tunaweza kusema tunakula mboga kumbe tunakula wadawa matupu hivyo hata vitubisho tunavyokusudia kuvipata tukavikosa kabisa hivyo tatizo kukaa kwa mda mrefu bilakuondoka kabisa nitafute kwa no 0683672508 hiyo nitakusaidia if your serios na tatizo litakwisha kabisa MSISITIZO USIJARIBU KWENDA KWA WANGANGA WA KIENYEJI WENYEWE WANAKATA KWA VIWEMBE NA WANAKUWEKEA MADAWA YAO AMBAYO YATAKUHATARISHIA MAISHA
 
pole sana,,,mi sio dr,,ila ni dalili za hoemorrogy,,,,sijui kama nimiandika vyema,,,,,usile nyama nyekundu,,pombenyingi,,,,kunywa maji sana na kula raffegies,,mbogamajani,,,usile vitu vikavu,,ukifanya mazoezi achama mdomo,,,,,tafuta mpare akuonyeshe jani/mmea uitwao ,,mrumbavasi,pondaponda,bandika hapo kidizain usiku ukilala,,,,,niko tayari kusahihishwa na kuboreshewa,,,ni uzoefu wa kujua tatizo hilo,
 
Nashukuru sana, lakini ningeomba mnijuze njia zinazoweza kutibu bila kufika hospital, maana nipo shule na ni mbali na vituo vya afya labda mpaka likizo, je wakat nasubiri likizo nifanye nini?
usiwe mbishi, ugonjwa wako unataka hutibiwe ukiwa shule. nini maana ya KUELIMIKA SASA?
 
Tumia dawa inaitwa Procto-Glyvenol[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif].[/FONT]
 
tunawashukru kwa maelezo ninaimani ndugu yetu atapata nafuu na Mungu atampigania
 

pole nduu yangu kwa tatizo linalomsumbua mkeo mpendwa. Naamini wataalamu watakusaidia. Lkn vipi hapo kwenye red ni sahihi au umekosea kuandika? Au mimi ndiyo sijakuelewa?
 
Jamani wana jamvi wenzangu....Naomba mnisaidie katika hili..Hivi tatizo la vinyama nyama kuota katika sehemu ya haja kubwa, linaitwaje, linasababishwa na nini? Na tiba yake je ipo vipi? Vilevile vikiachwa vitakuwa? Naombeni majibu chanya na toshelevu tafadhali.
 
pole ila sasa hebu sema ziko sehemu gani kwa nje ya ngozi pembeni ya anus au unaviona katikati vinaziba anus? yaaana elezea vilipo kwanza.
 

Tatizo : Bawasili au Haemorroids

Sababu: Kuvimba kwa mishipa midogo ya vena inayozunguka tundu la kutolea kinyesi(anus) hii ni kutokana na kupata choo kigumu.

Tiba: Tiba ipo nadhani ni ya vidonge, jaribu kwenda hospitali hasa hasa hawa jamaa wa Tiba lishe.

Note: Fika hospitali haraka usiache tatizo liendelee, maana likizidi sana huenda vikapasuka na kukusababishia madhara zaidi, mara nyingine hupelekea kansa ya tundu la kutolea kinyesi(anus).
 

inaitwa haemorroids na si fibroid, matibabu yake inategemea na eneo lilipo na namna gani inakusumbua, initially huwa tunaanza na medical treatment lakini pamoja na kula vyakula vyenye laughages kama mboga za majani juice na maji ya kutosha na final and definitive treatment ni kuviondoa lakini baadaye unatakiwa kuendelea na diet. I think its okey, haya nenda hospital Drs tuone shida iko wapi.
Good luck
 

shukrani mkuu, yes it's haemorroids
 
pole ila sasa hebu sema ziko sehemu gani kwa nje ya ngozi pembeni ya anus au unaviona katikati vinaziba anus? yaaana elezea vilipo kwanza.
Ahsante aisee, vipo kwa nje(pembeni) katika ile mikunjo ya anus.
 
Nenda kamuone dr kwan lazime aangalie ni nyama za aina gani manake kama ni vidundule huwaga vinakatwa tu ila kama ni zinazotokana na bacteria pia lazima atakupa dawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…