Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

(Hemorrhoids)

Bawasiri ni mojawapo ya tatizo ambalo mara nyingi linapotokea humfanya mtu kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba sahihi. Bawasiri au hemorrhoids husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.
Kuna aina mbili za Bawasiri:
i. Nje
Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huweza kuambatana na maumivu, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (vena) hupasuka na damu huganda na kusababisha aina kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoid.
ii. Ndani
Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa. Na huwa haimbatani na maumivu na wengi huwa hawatambui kuwa wanatatizo hili.
Aina hii imegawanyika katika mainisho yafuatayo:
Daraja I- Bawasiri kutotoka katika mahali pake pa kawaida
Daraja II- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja III- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha mwenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja IV- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu mtu kuirudisha baada ya tukio hilo.

hemorrhoid-1-300x212.jpg
Hemorrhoids1USdepartmentofhealtha.jpg

Je bawasiri husababishwa na nini?
Bawasiri husababishwa na;

• Tatizo sugu la kuharisha
• Kupata kinyesi kigumu
• Ujauzito
• Uzito kupita kiasi (obesity)
• Ngono ya njia ya haja kubwa (anal sex)
• Kwa ujumla mambo yanayo ongeza shiniko katika tumbo.
• Umri mkubwa
Dalili za bawasiri;
• Damu kuchanganyika na kinyesi wakati wa kujisaidia (hematochezia)
• Maumivu au usumbufu
• Kinyesi kuvuja
• Kijiuvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
• Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
• Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa
Matatizo yanayoweza kutokana na Bawasiri:
• Upungufu wa damu mwilini (Anemia)
• Strangulated hemorrhoids

Vipimo na uchunguzi:
i. Digital rectal examination
ii. Proctoscope
iii. Sigmoidoscope
Matibabu :
Matibabu hutegemea na hali na aina ya Bawasiri
i. Rubber band ligation- Hapa mishipa hufungwa na rubber band ili kuzuia damu kwenda kwenye eneo liloathirika, na hutumika kwenye aina ya ndani ya bawasiri.
ii. Sclerotherapy- Hapa kemikali huwekwa kwa njia ya sindano
iii. Coagulation (infrared, laser and bipolar)
iv. Upasuaji;
-Hemorrhoidectomy
-Stapled hemorrhoidopexy
Jinsi ya kuzuia Bawasiri:
• High fibre diet, kula mboga za majani, matunda, na nafaka kwa wingi.
• Kunywa maji mengi kwa siku (glasi sita had nane kwa siku)
• Punguza kukaa kwa muda mrefu sana hasa ukiwa chooni, kwa sababu unaweza kuongeza shinikizo katika mfereji wa haja kubwa.

.......................... gfsonwin ...................................... pepim
 
Last edited by a moderator:

thanks MziziMkavu miye nilishindwa kumuelezea juu ya haemorrids in a clinical manner kama ulivyofanya. so i love what you said.

labda nimuongezee tu kama viuvimbe hivi vitaambatana na mchubuko, definately vitapakuwa septic, na hapo pia huweza kupata homa kali sana na usaha. ni tatizo baya sana kama usilipo litibu mapama. so kwa mgonjwa nenda hosp. usione aibu kumuonyesha dr na kama vipi ni bora akavikata tu. halafu kumbe kiswahili chake ni bawasiri. sikuwa najua kabis
 
Last edited by a moderator:
"Hivi tatizo la vinyama nyama kuota katika sehemu ya haja kubwa" + "vipo kwa nje(pembeni) katika ile mikunjo ya anus"

huyu mgonjwa mbona anaeleza dalili zote za anogenital warts nanyi mnampa dx ya haemorrhoids?
 
Habari JF Doctors
Msaada tafadhali, Mdogo wangu wa kiume umri 27 ameota nyama anadai siyo kubwa sana ni ndogo karibia na sehemu ya njia ya haja kubwa, ana lalamika maumivu makali na tumbo lina muuma sana.Je ni ugonjwa gani? na matibabu yake yako ya kienyeji au hospitali. msaada madokta. asante
 
To be on the safe side mpeleke hospitali.Humu jamvini sidhani kama kuna daktari ata-prescribe dawa bila kumuona mgonjwa. nadhani maadili yao hayaruhusu kufanya hivyo. Mpeleke hospitali.
 
Huo ni ugonjwa upo na matibabu yake huwa wanavikata na kupewa madawa yake, muwaishe kwa wazee wa Mabwepande kama bado hawapewa barua zao na kufutiwa mikataba
 
Inawezekana ikawa perianal abscess au perianal carcinoma, cha muhimu mpeleke hospital inayoeleweka akaonane na general surgions watamsaidia.
 
si useme tu ni wewe??anyway ilo tatizo lipo pabay ajamani...........maan adokta lazima aone kwanza.......mamaaaaaaaaa
 
si useme tu ni wewe??anyway ilo tatizo lipo pabay ajamani...........maan adokta lazima aone kwanza.......mamaaaaaaaaa

lol mficha uchi hazai....

mtoa mada mienakushauri ukamuone daktari,kama ni vinyama vidogo utapewa dawa upake then vitaisha ,kama ni vikubwa itabidi ufanyiwe upasuaji,ila mara nyingi huwa tumbo haliumi sijui kwa nini mdogo wako anaumwa labda cancer....:wacko::wacko::sleepy:
 
Usipeleke kwa dawa za utamaduni, hicho kinyama lazima kikatwe hospitalini, venginevyo utapoteza damu nyingi na madhara zaidi
 
mkono wa paka
asante kwa ushauri, kwataarifa yako mimi ni mama na walasiyo unavyofikiria wewe. na kama ningekuwa ni mimi nisingekuwa na sababu ya kuficha. umeelewaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa eeehhhhhhhhhhhhhhhh.kwani ugonjwa si jambo la kuficha.
 
hiyo ni dalili mojawapo ya tatizo la kukosa choo lijulikanalo kama constipation, laweza pelekea kupata Colon cancer ama 90% ya magonjwa sugu.

anahitaji kupata Colon cleanser ya Edmark ijulikanayo kama Shake off phyto fiber. kuna thread hapa inahusu colon cancer ama saratani ya utumbo mpana, i-search, zaid wasiliana na Bernard 0784475576, 0716927070
 
mdogo wako ana external hemorrhoids au piles,.aende hospitali atapatiwa dawa,,,ila abadili diet ale vyakula vyenye fiber sana eg matunda na mbogamboga na maji mengi ili asijikakamue aendapo chooni,,,maumivu yakimzidi mwambie aweke maji ya moto kwenye karahi then ayakalie kwa dakika 15 akiweza mara tatu kwa siku....then anaweza kuweka kibaraku kwenye nailoni then akawekea kwa juu ya uvimbe ili uvimbe upungue...onyo: asinyanyue vitu vizito,asile pilipili au vyakula vigumu......akifuata hayo maelekezo ninahakika atakuwa safi within few days...lakini mpeleke hospitali coz atakuwa na tatizo jingine zaidi ya piles coz piles hazisababishi kuumwa tumbo.....ukitaka maelezo zaid kuwa huru..
 
Umeshapata tiba ya tatizo lako? Kama bado tujulishane tusaidiane!
 
Back
Top Bottom