Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Makila kwa kinyumban......ni mabaya sana.Yanamaliza nguvu,yanakondesha.Yanatibika kienyej

Do you know why kuna magonjwa afrika yanaua watu wakati yanatibika? Mnaanzaga na denial kwa kusema utaisha baada ya siku chache, the jirani yako anakushauri mizizi ya kutumia. Unaenda kwa mganga wa kienyeji,unalishwa mavi, mavuzi etc na ukishaona hamna nafuu ndo unaenda hospitali. Hapo inakuwa too late na lawama zinakuwa kwa watumishi wa afya. Tunajionaga kama tuko sahîhi kwa yale tunayoyafanya na kuufunika ujinga wetu chini ya meza.
 
kinga ni bora kuliko tiba.lakini hamjasema nn chanzo au mnaogopa kutaja sembe.binafsi sembe situmii choo napata x3 kwa siku bila shida.
sembe ni zero takataka haifai.
tiba nyepesi nikuacha matumizi ya sembe na vyakula vya viwandani,tumieni asal mbichi,juis za ukwaju
hospitali utakatwa tu wala aisaidii.chukua tahadhari mapema
 
hivyo vinyama ni haemorroids au piles, vinasababishwa na kula vyakula visivyo na fiber, dawa yake ni kunywa maji mengi na kula vyakula bora vyenye wingi wa fiber
 

Ulitaka kusema nini hapa???????????kwa kutibiwa kienyeji ni ujinga au?
 
Habari za Wakati huu wanajamvi najitokeza kuomba ushauri au njia ya kunisaidia kutibu pamoja na kuondoa tatizo langu.Wakuu nakumbuka wakati niko O-level miaka 2006 nilitokewa na viuvimbe kwenye sehemu zangu za siri hasa kwenye mavuzi hali ile iliendelea mpaka vikapona vyenye nikajua vinasabishwa na uchafu nakumbuka kipindi kile nilikuwa mchafu wa nguo za ndani hii ni kutokana na uhaba wa Maji katika shule hivyo nikawa nimejirekebisha lakini nashangaa bado vinaendelea kutokea hebu watalamu wa Mambo ya Afya nisaidie ni ugojwa gani unanisumbua labda unapelekewa hayo katika sehemu zangu za siri.
 
Uvimbe ukoje size, unatoa uchafu au laaaa, unauma ukiguswa au la!???
 
kun viuvimbe vya gonorea na sifilis. chako kikoje!? nenda hosp haraka
 
MENISON

Unaendeleaje na hali hii?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…