Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,986
- 5,058
Ukiona haemorrhoid ina maumivu makali ina maana iko thrombosed na inahitaji surgical intervation. Hakuna kipimo kinaboa kama digital rectal exam otherwise ni diagnostic kwa mtu mwenye tatizo hili. Madaktari wengi wanakwepa kunusa harufu za mavi ya mtu mzima, kuna harufu kali! Tatizo jingine ni anorectal fissure, very painful unapoku.nya! Unaweza kuamua kubaki na mav.i tumboni kuliko hayo maumivu. Pole sana ndugu, wagônjwa wengi ukiwauliza watakupa history nzuri lakini wanayofaya. Kuna ndugu yangu ni mvivu wa kunywa maji ila kwa daktari alimwambia anakunza maji kila asubuhi najioni. Nilipoona nikaishia kucheka tu!