Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ukiona haemorrhoid ina maumivu makali ina maana iko thrombosed na inahitaji surgical intervation. Hakuna kipimo kinaboa kama digital rectal exam otherwise ni diagnostic kwa mtu mwenye tatizo hili. Madaktari wengi wanakwepa kunusa harufu za mavi ya mtu mzima, kuna harufu kali! Tatizo jingine ni anorectal fissure, very painful unapoku.nya! Unaweza kuamua kubaki na mav.i tumboni kuliko hayo maumivu. Pole sana ndugu, wagônjwa wengi ukiwauliza watakupa history nzuri lakini wanayofaya. Kuna ndugu yangu ni mvivu wa kunywa maji ila kwa daktari alimwambia anakunza maji kila asubuhi najioni. Nilipoona nikaishia kucheka tu!
 
Ndugu habarini.kuna rafiki yangu ana hili tatizo la kipande cha nyama kuota matakoni karibu na sehemu ya aja kubwa hivi linasababishwa na nn na hasa dawa gan ni sahihi
 
sema kama ni wewe huyo mwenzako ulijuaje kama imeota karibu njia ya haja kubwa ulimkaguaje kama sio wewe!kama hajaingiliwa/hujaingiliwa sijui!
 
pole,
japo umesema siyo wewe but inakuwa ngumu watu kuzungumza magonjwa ambayo yapo maeneo ambayo jamii imesha-lable ni sehemu za siri.

mataka na ------ vyote vina angukia kwelie hilo -----

back to the topic nyama hiyo inaweza juwa ni hemorrhoids na matibabu yake inategemeana dalili ulizo nazo pamoja na ukubwa wa tatizo. at time sunaweza kuhitajika kufanya upasuaji kama dawa zinashindwa kufanya kazi


jambo la msingi na muhimu ni kwamba kuna matibabu.

kindky muone daktari wako
 
Mkuu Muone Daktari fasta...! La sivyo haja kubwa utaisikia redioni halafu mauti yatafuata.... Siku nyingine usimsingizie mtu kuwa muwazi "Ninaota nyama m.k.unduni nifanyeje?
 
Ebwanaeee ulijuaje kaka kama kimeota karibu na tundu ya haja kubwa
 
Ndugu habarini.kuna rafiki yangu ana hili tatizo la kipande cha nyama kuota matakoni karibu na sehemu ya aja kubwa hivi linasababishwa na nn na hasa dawa gan ni sahihi
Huu ugonjwa wadau unaitwa bawasiri na tiba yake ipo,kuna jamaa yangu alikuwa na tatizo hili kwa sasa ameshapona kupitia dawa za asili,sijajua upande wa pili wanafanyaje,ila ni ugonjwa mpya kidogo na ni tatizo kubwa ingawa waswahili tuna tatizo la kuficha maradhi.Kwa wanaowajua watu wenye tatizo hili,nawapa namba ya doctor aliyemsaidia jamaa yangu mpaka akapona.
DR.LAIZER 0767 289401
 
search hapa jamii forums unaitwa bawasiri unaota kwenye haja kubwa
 
Ndugu habarini.kuna rafiki yangu ana hili tatizo la kipande cha nyama kuota matakoni karibu na sehemu ya aja kubwa hivi linasababishwa na nn na hasa dawa gan ni sahihi
Wahi haraka hospitali,upate matibabu. Inaweza ikawa kansa ukichelwa. Mi na ndugu yangu alichelewa kumbe ni kansa
 
sema kama ni wewe huyo mwenzako ulijuaje kama imeota karibu njia ya haja kubwa ulimkaguaje kama sio wewe!kama hajaingiliwa/hujaingiliwa sijui!

ww ------ kweli sasa kama rafiki yangu hawezi nishilikisha acha kufikili kwa kutumia shahawa mbona kuna siku ulileta maada hapa mama yako anaenda period throughout ina maana ulimgonga paka ukaona au alikusimulia usinitafutie nban watu tushaianza weekend vyema
 
Ndugu habarini.kuna rafiki yangu ana hili tatizo la kipande cha nyama kuota matakoni karibu na sehemu ya aja kubwa hivi linasababishwa na nn na hasa dawa gan ni sahihi


BAWASIRI (HEMORRHOIDS)



8a2e34f0723702fe81970a9fc0a72c41.jpg


Bawasiri ni mojawapo ya tatizo ambalo mara nyingi linapotokea humfanya mtu kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba sahihi. Bawasiri au hemorrhoids husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.


Kuna aina mbili za Bawasiri

Nje: Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huweza kuambatana na maumivu, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (vena) hupasuka na damu huganda na kusababisha aina kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoid.


Ndani
: Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa. Na huwa haimbatani na maumivu na wengi huwa hawatambui kuwa wanatatizo hili.
Aina hii imegawanyika katika mainisho yafuatayo:
Daraja I- Bawasiri kutotoka katika mahali pake pa kawaida
Daraja II- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja III- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha mwenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja IV- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu mtu kuirudisha baada ya tukio hilo.



Je bawasiri husababishwa na nini?

Bawasiri husababishwa na;


  • Tatizo sugu la kuharisha
  • Kupata kinyesi kigumu
  • Ujauzito
  • Uzito kupita kiasi (obesity)
  • Kupenda kufanya ngono ya njia ya haja kubwa (anal sex)
  • Kwa ujumla mambo yanayo ongeza shiniko katika tumbo.
  • Umri mkubwa

Dalili za bawasiri


  • Damu kunuka kinyesi wakati wa kujisaidia (hematochezia)
  • Maumivu au usumbufu
  • Kinyesi kuvuja
  • Kijiuvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
  • Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
  • Kujitokeza kwa kinyama (bawasiri) wakati wa haja kubwa

Matatizo yanayoweza kutokana na Bawasiri


  • Upungufu wa damu mwilini (Anemia)
  • Strangulated hemorrhoids


786813_f260.jpg


Vipimo na uchunguzi



  • Digital rectal examination
  • Kipimo cha njia ya haja kubwa (Proctoscope)
  • Kipimo cha utumbo mpana (Sigmoidoscope)

Matibabu
Matibabu hutegemea na hali na aina ya Bawasiri


  • Rubber band ligation - Hapa mishipa hufungwa na rubber band ili kuzuia damu kwenda kwenye eneo liloathirika, na hutumika kwenye aina ya ndani ya bawasiri.
  • Sclerotherapy- Hapa kemikali huwekwa kwa njia ya sindano
  • Coagulation (infrared, laser and bipolar)
  • Upasuaji;
    • Hemorrhoidectomy
    • Stapled hemorrhoidopexy

Njia za kuzuia Bawasiri


  • High fibre diet, kula mboga za majani, matunda, na nafaka kwa wingi.
  • Kunywa maji mengi kwa siku (glasi sita had nane kwa siku)
  • Punguza kukaa kwa muda mrefu sana hasa ukiwa chooni, kwa sababu unaweza kuongeza shinikizo katika mfereji wa haja kubwa.Bawasiri (Hemorrhoids)


 
Mimi nilikuwa mpenzi wangu, yeye alikuwa na kama kimkia kimeota ukeni.je nini chanzo,matibabu yake na ugonjwa huo unaitwaje? Msaada
 
Jamani wadau na mimi naomba nichomekee langua hapa hapa nimekuwa na tatizo kwa mda mrefu sana lakuwa na kama kitu kwenye koo ambacho kuna mda huwa kinakuwa kama kimeshuka chini nakuna mda kinakuwa juu mpaka nakosa hata hamu yakula nmeshaenda sana hospital ckupta msaada kwakweli na kitu hcho kuna kpind kinaniletea kikohozi au kufanya saut kuwa nzto sana kwa kifup kinanitesa sana...Naomba nipate msaada wenu wadau tafadhali

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ndugu mimi huwa najieleza bila wasiwasi coz nataka kupona niko kwe matibabu saiv naona angalau maumivu yanapungua loo!!! Huu ugonjwa mbaya sana jaman
 
nimefanyiwa upasuaji na kukata bawasiri,kupona inachukua muda gani?tangu may.msaada jamani
 
Back
Top Bottom