Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ajaribu ANUSOL nilitumia na uvumbe umeisha kabisa
 
Ni pm nitakusaidia,hata mimi nilikuwa na tatizo hilo,nimesaidiwa nimepona
 
Wadau habari zenu? Nimepata hili tatizo. Takribani siku 5 sasa zimepita, nimetokewa na uvimbe pembezoni mwa njia ya haja kubwa, sijui tatzo ni nini. Hili tatzo linanisababishia maumivu makubwa sana, hasa ninapokaa, uvimbe umejitokeza sehemu 3 pembezoni mwa njia hyo.
Naombeni msaada wa nini chanzo chake na ni vipi nawezapona? Natanguliza shukrani.
 
Nashukuru sana wadau, nimesoma michango yenu na imenipa mwanga na matumaini ya kupona. Acha nimwone daktari macho kwa macho.
 
Yaweza kuwa kansa mpereke hospt.
 
Nauliza hivi tatizo la kutokwa na damu wakati wa kumalizia haja kubwa ni ugonjwa gani na unasababishwa na nini? Hali hii hunitokea walau mara moja ndani ya 24hrs. Pia tiba yake ni nini?
 
Kwani unaenda haja kubwa mara ngapi ndani ya hizo 24 hrs, lol!

nenda hospitali, huenda una hermorroids na unahitaji uchunguzi mapema ili utibiwe.
 
Kwani unaenda haja kubwa mara ngapi ndani ya hizo 24 hrs, lol!

nenda hospitali, huenda una hermorroids na unahitaji uchunguzi mapema ili utibiwe.

Yaaani wewe usingezaliwa mama angeumwa tumbo.saaaana!!!!!
 
Nashukuru king'asti..nimechukua ushauri tatizo japo hospital nshaenda na tatizo hili ni miez miwil sasa linaacha then back. May be nimpate dr competent na anayejali! Thnks again make naona wengine wanafanya ushabiki kwenye afya za watu!
 
Achana nao hao wachokozi.

kwani unapata maumivu wakati wa kwenda haja kubwa?
Nashukuru king'asti..nimechukua ushauri tatizo japo hospital nshaenda na tatizo hili ni miez miwil sasa linaacha then back. May be nimpate dr competent na anayejali! Thnks again make naona wengine wanafanya ushabiki kwenye afya za watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…