Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani kuisaidia damu haja kubwa.
Jamani habari za saa hizi wanaJF.
Ningependa kuuliza hivi tatizo la kujisaidida damu hua linasababishwa na kula vitu vigumu au kuharibika kwa utumbo kutokana labda na kuliwa na vijidudu? Au kuna sababu gani zaidi na huwa inatibika kwa njia gani?
Mkuu Kujisaidia damu kwa haja kubwa kwa lugha ya kitaalamu kunaitwa jina hili ''Damu kunuka kinyesi wakati wa kujisaidia'' (Hematochezia) kunaweza kusababishwa na ugonjwa wa Bawasiri yaani (Hemorrhoids) au ( Diverticulosis) Au ugonjwa wa kansa ya matumbo (Colorectal cancer) Ningelikushauri kwanza uende Hospitali kuangaliwa na Ma-Daktari kisha uje hapa utuambie Ma-Daktari wamesema ni Maradhi gani?Yani kuisaidia damu haja kubwa.

Naomba kujuzwa sababu/chanzo cha ugonjwa wa kuota nyama njia ya haja kubwa na jinsi ya kupunguza maumivu wakati mgonjwa anaendelea na dozi.
Unaumwa Bawasiri/Mgolo ( hemorrhoids)? Hii ni kutokwa damu wakati wa haja kubwa pamoja na maumivu makali. Nna tiba ya asili ya kutibu na kumaliza kabisa tatizo hilo,dozi ni siku 7 - 21 kutegemeana na ukubwa wa tatizo lako. Wengi niliowatibu wamesumbuliwa kwa muda mrefu na kuhangaika hospitali za kila aina bila mafanikio. Ni- PM kama una tatizo hilo ama nduguyo na unahitaji kupona/apone
Kama ni mambo ya PM! Weka picha!
Asante kwa maelezo yako haya ni maradhi ya siku nyingi tu . Na neno Bawasiri ni neno la kiarabu kwa kiswahili tunaweza kusema ni futuro au unavyosema wewe kuwa ni jina la Vikanga kila kabila lina jina lake. Na ni maradhi yanaweza kumpata mtu yoyote yule.hemorroids ni ugonjwa unaosumbua watu wengi sana na sijui kwann siku hizi vikanga vimeamia nyuma.
nasema ivo manake kwa siye tulokuwa zamani vikanga vilikuwa vinawapata wakina mama wanaozaa watoto wengi, na ilikuwa kuna jins ya kukata na sio watu wote walikuwa wanajua kuvikata ingawa vilikatwa kienyeji. iliaminika kwamba mama akiwa na kikanga basi mtoto anayenyonya atadhoofu afya.
sasa siku hizi naona imegeuka kweli hali hii, siku hizi vinawapata hatra wanaume af vinatokea nyuma na jina limebadilika vikaitwa bawasiri............
nimekuwa na tatizo hili kwa muda mrefu, nilikwenda hospitali nikaambiwa na dr nirud kwa kufanyiwa upasuaji kwan dawa za kupaka haziwezi kutatua tatizo! kwa kweli nimekuwa muoga mno kufanyiwa upasuaji huo kwani baadhi ya watu wanadai huweza kujirudia tena na kuleta athari zaid, naamio hapa jf nitapata msaada zaid nini cha kufanya? nini athari zaid ya hik kinyama endapo hakitaondolewa?
Soma humu ndani kuna uzi kibao zinazohusu huu ugonjwa..au kama vipi nipm nikupe namba ya Benard..alinisaidia sana huyu jamaa..yupo pale Masaki
nimekuwa na tatizo hili kwa muda mrefu, nilikwenda hospitali nikaambiwa na dr nirud kwa kufanyiwa upasuaji kwan dawa za kupaka haziwezi kutatua tatizo! kwa kweli nimekuwa muoga mno kufanyiwa upasuaji huo kwani baadhi ya watu wanadai huweza kujirudia tena na kuleta athari zaid, naamio hapa jf nitapata msaada zaid nini cha kufanya? nini athari zaid ya hik kinyama endapo hakitaondolewa?